Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Rais wa awamu ya Tano Leo mjini Ngudu huko mkoani Mwanza amehutubia mkutano wa kampeni akiwa juu gari#HAPA KAZI TU#
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Picha inaongea zaidi kuliko maandishi Big Project Now(BPN)
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Madaraja yenye kupitka kwa hofu....!! haya tena...... nasi tujenge yetu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Kikwete ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Bandari ya kisasa ya Bagamoyo itakayogharimu dola za Marekani bilioni 10 -Ujenzi huo pia utahusisha ujenzi wa viwanda 1,000
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mh. Magufuli bado yupo Mwanza, na leo hii anaendelea kuzoa kura za wakazi wa Mwanza. Hapa ni Igoma akiwa amezuiliwa na wakazi wa hapo ambao walitaka kumsikia Rais wao wa Tano. Mh. Magufuli tokea...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Bado mmoja.......
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vijana wamekamatwa katika misitu ya mlima Meru na wengine Morogoro wakipewa mafunzo ya kigaidi. Hii ni hatari sana kwa usalama wa taifa letu. Kama kweli watanzania tuna nia njema na taifa letu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanasema Mwanza wamefurika... Naona kama kuna mikutano 3 hapo .... Teh! Teh! Teh! Hizi photoshop bhana ....
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA Wananchi wamkubali kwa uwezo wake wa kujieleza, sera ,ilani na mipango ya kuleta maendeleo huku akiwa yeye mweyewe bila kuwa na msururu wa watu wa...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
CCM WAPOKEA KADI ZA WAPINZANI KWA MALUNDO Wapinzani wa Vyama Vyote Warudisha Kadi kwa Malundo
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Dr. Magufuli kila kona anapo enda kuna Mafuriko ya kufa mtu. Jamani tuseme nini ten zaidi ya kusubiri kumwapisha Rais wetu wa Tano? Hakika huyu ni chaguo la Mungu na hana upinzania Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
....zimebaki dakika 6 za nyongeza mpira kumalizika poleni sana tukutane 2020 Mungu akipenda !!! Kushindwa ni matokeo na Kushinda ni matokeo.........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Kawawa, Ujiji.
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Asie kubali kushindwa si mshindani. Hii ni habari mbaya kwa UKAWA baada ya mgombea wao kuonyesha udhaifu mkubwa wa kusimama mbele ya halaiki ya watu na kumwaga sera zake. Hii sio mara yake ya...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom