Adhabu Hizi Bado zipo Mashuleni?

Adhabu Hizi Bado zipo Mashuleni?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10479233_695089287225015_6520016176445254429_n.jpg



mimi ninazikumbuka hii Adhabu mnamo mwaka 1974 nipo Shule ya Msingi hapo kazi kweli nilikuwa sipendi kweli nipewe Adhabu hii na Mwalimu wangu wa Darasa. Je wewe Mwenzangu unakumbuka hii adhabu ulipewa mwaka gani?
 

Attachments

  • Adhabu za shule.jpg
    Adhabu za shule.jpg
    46.4 KB · Views: 134
Back
Top Bottom