Special Thread: Thread zote za Rakims kwa wanaonifuatilia

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
Habari wanabodi.!

Nimetengeneza thread hii mahususi kwa wale wote wanaopenda kufuatilia thread zangu humu Jamii Intelligence na kujifunza mambo ya kiroho au powers ili waweze kupata urahisi wa kufungua na kusoma mengi na yanayoendelea kutoka kwa Rakims na baadhi ya thread kama hizi wenye nazo wakiridhia basi watazi link hapa:

THREAD 1: Mwanzo wa meditation
katika thread hii chini hapo nimeelezea jinsi mtu anaweza kuanza meditation taratibu hadi pale atakapofikia level ya juu na mafanikio na athari anazoweza kuzipata mtu wakati na baada ya kufanya meditation thread hiyo haijaisha na itakuwa updated

1091759



THREAD 2: Jinsi ya kutoka nje ya mwili
Katika thread hii chini nimeeleza jinsi gani mtu anaweza kutoka nje ya mwili wake na kufanya survey katika ulimwengu wa kiroho ambayo ni moja kati ya state kubwa kabisa za mafanikio ya meditation

1091763



THREAD ZINGINEZO:

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD


THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD

THREAD



kama una swali ambalo ni personal na upo nje ya forum:

Wasiliana nami kupitia email hii:

Rakimsspiritual@gmail.com

au namba hii ya mtu aliye karibu nami

+255783930601


Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
kazi nzuri mkuu Rakims, ila vipi kwa wana jf wenye swali kwani kuna haja yakutumia email. pm si itatosha kuuliza na kujibiwa?

Shukrani mkuu,
kwa waliopo kwenye Forum thread ipo lakini unless anataka kuuliza swali ambalo hataki wengine wamuone akiuliza kutokana na JF watu walivyo wana kariri kuna mtu anaweza kuuliza kitu wakamzonga kwa experience zake ndio maana nikasema kwa wale walio nje ya forum watatumia Email. Maana kuna Google message uwa zinatokea mtu anataka kuuliza kitu

Rakims
 
Itabidi nikazane sana ili na me niweze kufanikiwa
Asantee kwa mafunzo namini ipo siku ntafanikiwa na mimi
 
Back
Top Bottom