Nimekua mfuatiliaji mzuri wa makala kadhaa za umafia, utemi na ugaidi, Kuhusu binadam waliochafukwa na roho, Japo kwa kiasi nilikuja kugundua kuwa hakuna binadam anaezaliwa akiwa mafia, Wengi wa...
Ndugu zangu. Hata sasa tumeshuhudia anguko la mwanadamu katika nyakati hizi za Neema ya Mungu ya Wokovu kupitia damu ya Thamani ya Yesu Kristo...
Manabii wa uongo walikuwepo tangu nyakati za...
Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni
Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae
Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio...
BEHIND THE CURTAIN: SEPTEMBER 11
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu...
Habari za sikukuu wana JF natumaini kila mtu ni mzima wa Afya bila kupoteza muda twende kwenye mada na ningeomba tuisome kwa umakini sana maana kuna jambo kubwa nataka tujifunze mwishoni...
UKWELI[emoji118] ULIOFICHWA[emoji118]
Dunia hii haijawahi kuwa na maana Zaidi ya Ubadhilifu, Upumbavu uliokithiri, jinsi mifumo inavyowafanya watu kuwa Kama mashine, na huo muendelezo wa hayo...
Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya...
WAFAHAMU WANYAMA WENYE HESHIMA KUBWA DUNIANI.
Katika uumbaji Mwenyezi Mungu aliumba viumbe wa aina nyingi sana, viumbe hao ni pamoja na ndege, samaki wakiwamo na wanyama pamoja na wadudu...
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.
Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda...
I hope y'all are doing just fine, It has been long time since I was here[JF Inteligence]
Kuna mtu alileta mada humu akiuliza kwamba picha inayotumiwa na wakristo hasa wakatoliki ya mtu mmoja...
Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee.
Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha...
Nchi zetu hizi mwanasiasa ana nguvu kuliko mtu yeyote, ndiyo maana anaweza asiwe na imani na CDF ikapigwa figisu akatolewa, au DGIS ikapigwa figisu akatoka, ama IGP inapigwa figisu anatoka.
Wakati wa vita baridi cold war pamoja na mashindano ya kutngeneza silaha kali duniani weapons race, mashirika ya ujasusi yalikua yakichuana vikali sana,hasa pande mbili kati ya USSR na USA.USSR...
Hakika! Hebu tujadili ulimwengu wa treni zenye umbo la kubana na kwa nini ni muhimu kwa kufikia kasi kubwa kama vile 200 km/saa.
## Treni Zenye Umbo la Kubana: Umuhimu wa Kasi
### 1. Umuhimu wa...
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote...
Habari Wana JF.
Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu.
Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo...
CHERNOBYL SERIES(2019)
Ni series inayoigiza hadithi ya maafa ya nuklia yaliyokea mnamo mwaka 1986 ndani ya iliyokuwa shilikisho la jamhuri ya kisovieti(USSR).Movie hii imekuwa ikipata sifa sana...
Tunatambua juu ya uwepo wa viumbe mbalimbali katika matabaka tofauti tofauti zaidi zaidi tumepata kuyajua haya kwa njia ya imani.
Leo hii tunatambua kuwa kuna kiumbe chenye uhai katika daraja la...
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine
Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP (...