Yesu wa Nazareth
WANAZUONI wengi duniani, bado wanaumiza vichwa kuhusu tarehe sahihi aliyozaliwa Yesu Kristo, ambaye ni Nabii wa Wakristo.
Miaka nenda rudi, vitabu vingi vimeandikwa na makundi...
FUMBO MFUMBIE MJINGA
LUKA 17:20-21
Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela
Kabla ya yote...
Afrika ina dini ambazo ni nyingi sana kuliko bara lolote lile Duniani. Dini hizi nyingi zimepigwa ban na watu wa nje (whites) kwa sababu tu ya inferior ya mtu mweusi wa zamani. Kuishi kwa...
Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo.
Ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu...
Kaskazini mwa nchi ya Israeli, kwenye miteremko ya milima ya Golani, (Golan Heights) ndani ya kijiji kiitwacho Gamala, katika jimbo la Galilaya, alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Yuda...
Niliwahi kusoma siku za nyuma sana kuwa kuna kikundi cha watu (illuminat) walianza mipango ya kuanzisha era mpya duniani itakayobebwa na mpango unaojulikana kama New World Order (NWO).
Wao...
Peter Noni na Rostam ni wabia wa biashara (Vodacom). Peter Noni ni shahidi wa serikali katika kesi za EPA zinazoendelea. Alikuwa ni bosi wa kina Imani Mwakosya, Esther Komu na Bosco Kimola. Katika...
Je, umewahi jiuliza imekuwaje vitu tofauti vya asili vinakuwa na umbo au muundo unao fanana? Sababu ni nini? Je Asili imetokea kama coincidence? Twende sambamba...
Picha uzionazo hapo juu...
DNA, VINASABA
Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata...
SIXTH TABLET OF LOST BOOK OF ENKI.
(THE CREATION OF FIRST HUMAN BEING)
Mwandishi OLYME SONGO III STUDENT A MEMBER OF JAMES KORDY KASHIRINA TEAM.
Mara ya mwisho tuliona viongozi wakipigwa na...
Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini...
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote...
Awali, Tanzania na Malawi walikubaliana kutatua mgogoro huu kwa kutumia njia ya mazungumzo ya pande mbili ambapo walikubaliana kutafuta washuluhishi wanaokubalika na Pande zote mbili. Wasuluhishi...
Karibu kila mtu amewahi kujiuliza swali hili.
Kwa nini serikali isi-print fedha nyingi na kuwagawia wananchi ili waondokane na umasikini?
Ni kweli, kila nchi ina uhuru wa kuamua ichapishe kiasi...
Watu hawa wanatokea karne nyingi sana nyuma katika maisha ya ulimwengu huu; wanajielewa , wapo very organized dunia nzima na hawabahatishi katika mikakati yao dhidi ya ubinadamu na Mwenyezi Mungu...
Ukifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa...
Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+, Hii ni baada...
Kwa nchi ya Egypt kama kuna Farao alieitikisa Misri akiwa hai na na kuendeleza ubabe hata akiwa mfu kaburini basi alikuwa ni mtoto mdogo aliejitwalia ufalme akiwa na miaka tisa tu kutoka kwa baba...
Ninahitaji kujua mambo kadhaa yanayohusiana na shughuli mbalimbali zinazofanywa na askari wa vyeo tofauti tofauti vya kijeshi.Kuanzia cheo cha chini kabisa mpaka cha mwisho.Namaanisha majukumu ya...
Barua iliyoandikwa 15/08/1871 na mtu huyu Albert Pike akimuandikia mwanamapinduzi wa kiitaliano Giuseppe Mazzini.
Barua hii imeandikwa na kunukuliwa na vyombo mashuhuri vya mashariki na...