thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,825
- 4,754
Nina imani kwamba wengi wanakubaliana kwamba jua ndio ipo Kati na kila sayari ikiwemo dunia katika mfumo wetu wa jua inaizunguka jua. Lakini sasa mtu ni ngumu kuashiria kwamba dunia inaizunguka jua.
Mwingine anaweza kusema jua ndo linaizunguka dunia maana mtu unaona kabisa jua linatoka mashariki linaenda magharibi kutokana na uwelewa wake..
Sasa kwa mtu kama huyu na mwingine na wale pia wenye uwelewa mdogo kuhusu hili swala, je unajuaje kwamba dunia inaizunguka jua? Yaani ni viashiria gani ambavyo unaweza kumwambia MTU kwamba dunia inaorbit jua na mtu akakuwelewa?