Wakuu natumaini hamjambo.
Mimi jana nimekwaruzana na mke wangu maana tulitofautiana katika mambo flani.
Sasa baada ya kulala, nimeota nimekufa sijui namna gani halafu siku wananizika nikafufuka...
Kama ilivyo CIA, KGB (imekuwa FSB kuanzia 1995)shirika la kijasusi la USSR sasa URUSI limewahi kuhusika katika operation hatari sana maeneo mbalimbali Duniani. Kilele cha operation hizo ilikuwa...
habari
Wadau nataka tujuzane hapa kwanini wanadamu wanashindwa kuumba wakati uwezo wa kiungu uko juu yao na wakitamka kitu kinatendeka
mfano: mtu anaweza kumtamkia laana mwenzake na ikampata na...
Nawasalimu kwa lugha zenu, ishara na mitindo mbalimbali ya salamu zenu kwa kuzingatia umri, elimu, tamaduni mitazamo, falsafa na Itikadi Zenu.
Nafurahishwa na uwepo wenu katika jukwaa hili, basi...
...huwa nikisoma na kufanya tafiti za wale magaidi wenye akili nyingi na wapangaji wa matukio magumu na kuyatekeleza nimejikuta kuvutiwa na uwezo huu wa hali ya juu. Mfano mtu anapanga tukio kwa...
Habarini wakubwa na wadogo. !
Ebu leo tuzungumzie kuhusu utofauti wa maisha katika bara la Africa na mabara ya ulaya tumekua tukishuhudia mambo makubwa sana kutoka kwenye mataifa ya ulaya...
Habarini wadau, Mimi ni kijana wa miaka 19, kwa miaka mi3 mfululizo nimekuwa nikijihusisha na kufanya ubunifu wa mambo mbalimbali yanayosaidia jamii nimebahatika kushindanishwa katika mashindano...
Habari za wakati huu wapendwa wangu.....natumaini mfungo unaenda vyema kwa wale waliokwama kuendelea na mfungo basi mola atawafanyia wepesi.
Siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida kuusikia...
Habari waheshimiwa, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, JE naweza kufahamu kwa njia yeyote kama Mzazi wangu ambaye ni marehemu ( zaidi ya miaka 20 iliyopita) kama alikuwa ni mfanyakazi...
nimekutana nayo hii
WASHINGTON: American officials have long considered Huawei, the Chinese telecommunications giant, a security threat, blocking it from business deals in the United States...
Hii ni news from Reuters kwamba kuna firmware imekuwa planted na moja ya intelligence agencies katika kila hard disk zinazotoka nchini marekani.
Hii firmware ina start pale unapo boot...
tumesoma kwenye jografia kua dunia inazunguka jua hivyo tunapata majira ya mwaka kama kiangazi na masika je ni kweli? galileo alikuwa sahihi?
Fikra ya kawaida
chukulia umepanda ndege au...
Kutokana na changamoto wakati mwingine unajikuta upo kazini mambo hayajakaa sawa hata pesa ya Lunch hamna.
Mara ya kwanza ilipotokea nilichukulia tu kuwa ni coincidence haikuwa na lolote jipya...
JE, TUNAWEZA KUWASILIANA NA WAFU?
Mbona watu huenda huko na kulala?
Mbona watu huenda makaburini kufanya ibada?
Je ulishawahi kujiuliza haya maswali ?
[emoji654] Somo hili ni muhimu kwa sababu...
Wakuu kuna ukweli wowote kwamba vichaa hawapati kipindupindu ukilinganisha vyakula wanavyo kula so salama kiafya reference mjadala wa wasanii wetu wa bongo...
Wanasayansi wanasema wamepata ushahidi kuwa mojawapo ya miezi inayozunguka sayari ya Jupiter imekuwa ikimwaga maji mengi anga za juu.
Wanasayansi waliripoti mara ya kwanza kuhusu kuwepo kwa maji...
In October 2013, Presidents Yoweri Museveni of Uganda, Paul Kagame of Rwanda and Uhuru Kenyatta of Kenya agreed to implement a Single Customs Territory (SCT) between them as members of the East...
What is the space between one star with another in the sky ? But also these things confuse me, Sun is a star according to my understanding and my teachers, but moon is not a star?
If yes what is...