Jinsi ya kutumia Ubani kwa faida mbali mbali

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
UBANI

684px-Olebanum.jpg

hii ni moja kati ya aina la vumba au dawa ya kuchoma au marashi ya nyumba au mwili na ubani ni aina ya nta au gundi inayopatikana africa,asia na america

hii imekuwa ikiuzwa sana na wengi wamekuwa wakinunua kwa faida moja tu ya kufanya manuizi na kufukiza kama perfume na kulisha majini n.k

lakini kuna faida nyingi sana za ubani na kuna aina nyingi za ubani ambazo hizi hupelekea wengi kutumia ubani na kusikia una harufu mbaya na kuwa hauna manufaa yoyote na kuuchukia moja kwa moja hii ni sababu ya kukosa ubani pure ndio hupelekea wengi kuchukia fusho hili,

ZIJUE FAIDA ZA UBANI
800px-Frankincense_2005-12-31.jpg

ubani ninaozungumzia hapa ikiwa utapendezwa nao basi email me kwa kuuagiza mara moja,

  • humvutia pesa,mapenzi,siri,mafanikio,akili,ukubwa,kuondoa nuksi mikosi na vijicho na laana kwa yule tu ambaye ana nyota inayomiliki siku ya jumatatu pekee, lakini kwa yule mwenye kumiliki siku za jumanne,jumamosi,jumapili basi hawa kwao huwa ni nuksi kubwa na kuharibu mafanikio yao,
    success.jpg
  • ukichanganywa na manemane huleta amani na utulivu katika fikra ya mtu ikiwa ni pamoja na kufukuza mizuka mibaya katika nyumba na ilikuwa ni zawadi kwa Yesu ilipochanganywa na manemane na kwa Abraham au Ibrahim ilikuwa ni pozo la fikra kwa harufu nzuri na kukuza imani
  • kwa mwenye maradhi ya mashetani akijifunika moshi wake na kuuvuta kwa siku 7 basi humuondoshea na kuwa huru
  • husaidia katika kuondoa mafua na baridi mwilini ukichomwa kwa kujifusha
  • huponya meno ukitafunwa kama jojo
  • huongeza ndoto nzuri wakati wa usingizi
  • huponya kidonda chenye kuvuja damu na kufuta kovu lake

FAIDA ZA MAFUTA YAKE:
401px-FrankinsenceEssOil.png

  1. kusaidia kupungua msongo wa mawazo na hisia mbaya pale yanaponuswa harufu yake hupunguza kasi ya mapigo ya moyo na msukumo wa damu na kuondosha mfadhaiko tofauti na dawa zingine haikufanyi kujihisi mawenge wenge,
  2. Huongeza nguvu za mwili kupambana na maradhi nyemelezi: ambapo husaidia katika kupambana na aina zote za bacteria na virus hata cancer, watafiti wa chuo cha Mansoura Egypt walithibitisha utendaji mkubwa wa kazi ya mafuta ya ubani,na pia hutumika kuondosha wadudu wa kwenye meno,fizi,ngozi na mdomo au nyumbani kwako.
    boost-immune-system.jpg
  3. husaidia kupambana na kansa au maumivu ya dawa za kansa mwilini, pia ukichanganya na mane mane ni bora zaidi kwa matokeo mazuri kwa mwenye tatizo la cancer watafiti wa kichina pia walithibitisha hili baada ya kuthibitishwa muda mrefu sana na mtume Mohammad (s.a.w) pia huondosha uvimbe wa ndani ya mwili uvimbe wowote mwilini na kansa ya maziwa pamoja na ngozi ndio zimejaribiwa zaidi na kutoa matokeo mazuri zaidi pale ambapo ubani ukichanganywa na ubani ule manemane, ubani ninaouzungumzia hapa ni ubani pure sio ile ubani mnayonunua inanuka mikaa, kumbuka kuna aina nyingi sana za ubani.
  4. kutoa kila aina ya bacteria ndani na nje ya mwili,
  5. husaidia katika kupunguza uzee wa ngozi na kuondosha wekundu katika ngozi ya mwili wa mtu na kumuweka aonekane bado kachangamka
    skin-aging.jpg
  6. husaidia katika kukomaza kumbukumbu za mtu na kuchangamsha akili ya mtu na kuongeza maarifa pale harufu yake inapopita katika pua na mafuta katika mishipa ya fahamu
  7. hurejesha usawa wa mihemko ya mtu kama amezaliwa ana mihemko ya jinsia tofauti na tabia za jinsia tofauti na yake
  8. husaidia katika kurekebisha mfumo wa choo kama choo kigumu kina matatizo au njia ya choo kama ina mapele na bawasili husaidia kuponya
  9. husaidia katika kulala kama mtu hukosa usingizi basi husaidia kulala kwa utulivu na amani,
  10. husaidia kupunguza kukurupuka hovyo na maumivu na pia harufu yake husaidia kuondosha kifua cha athma na maumivu katika mifupa,misuli na maungo
hizi ni baadhi tu ya faida za ubani na mafuta yake kwa upande wa mwili tu lakini pia kuna faida zingine za kiroho kama kupendwa na watu, kuweka usawa katika nyumba yako,kurekebisha kauli na kufanyia mambo kemkem ambayo ni ya faida takuja kuzungumzia hiyo pia

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
Kwanini Nyuzi Zako Hazionekani "Full" Kwa Watumiaji Wa Freebasic?
 
Mkuu kuna perfume sijui au ni mafuta au ni ubani huwa naona wananukia watu wengi wenye vipato vikubwa au vya kati katika maduka yao na hata wao wenyew hususa awa watu wenye asili ya kiarabu mi huwa naisigi lazim kutakua na kitu Fulani sijui unaweza kuyatambua kwa maelezo Yangu ayo nayatafuta sana yani nijuze kama utakua umeyatambua
 
Inaitwa al wood au majmua mkuu tafuta utapata bei zake elfu 80 na kuendelea kichupa kidogo hivi ila kuna tu fake wanauza elfu 15 hadi 25

Rakims
 
Kwa maelezo yako watu wenye nyota ya simba na punda inamaana wasitumie watakaribisha nuksi,mabalaa na mikosi maana wao siku zao ni jumanne na jumapili.
Au nimekosea mkuu
 
UBANI

684px-Olebanum.jpg

hii ni moja kati ya aina la vumba au dawa ya kuchoma au marashi ya nyumba au mwili na ubani ni aina ya nta au gundi inayopatikana africa,asia na america

hii imekuwa ikiuzwa sana na wengi wamekuwa wakinunua kwa faida moja tu ya kufanya manuizi na kufukiza kama perfume na kulisha majini n.k

lakini kuna faida nyingi sana za ubani na kuna aina nyingi za ubani ambazo hizi hupelekea wengi kutumia ubani na kusikia una harufu mbaya na kuwa hauna manufaa yoyote na kuuchukia moja kwa moja hii ni sababu ya kukosa ubani pure ndio hupelekea wengi kuchukia fusho hili,

ZIJUE FAIDA ZA UBANI
800px-Frankincense_2005-12-31.jpg

ubani ninaozungumzia hapa ikiwa utapendezwa nao basi email me kwa kuuagiza mara moja,

  • humvutia pesa,mapenzi,siri,mafanikio,akili,ukubwa,kuondoa nuksi mikosi na vijicho na laana kwa yule tu ambaye ana nyota inayomiliki siku ya jumatatu pekee, lakini kwa yule mwenye kumiliki siku za jumanne,jumamosi,jumapili basi hawa kwao huwa ni nuksi kubwa na kuharibu mafanikio yao,
    success.jpg
  • ukichanganywa na manemane huleta amani na utulivu katika fikra ya mtu ikiwa ni pamoja na kufukuza mizuka mibaya katika nyumba na ilikuwa ni zawadi kwa Yesu ilipochanganywa na manemane na kwa Abraham au Ibrahim ilikuwa ni pozo la fikra kwa harufu nzuri na kukuza imani
  • kwa mwenye maradhi ya mashetani akijifunika moshi wake na kuuvuta kwa siku 7 basi humuondoshea na kuwa huru
  • husaidia katika kuondoa mafua na baridi mwilini ukichomwa kwa kujifusha
  • huponya meno ukitafunwa kama jojo
  • huongeza ndoto nzuri wakati wa usingizi
  • huponya kidonda chenye kuvuja damu na kufuta kovu lake

FAIDA ZA MAFUTA YAKE:
View attachment 832601

  1. kusaidia kupungua msongo wa mawazo na hisia mbaya pale yanaponuswa harufu yake hupunguza kasi ya mapigo ya moyo na msukumo wa damu na kuondosha mfadhaiko tofauti na dawa zingine haikufanyi kujihisi mawenge wenge,
  2. Huongeza nguvu za mwili kupambana na maradhi nyemelezi: ambapo husaidia katika kupambana na aina zote za bacteria na virus hata cancer, watafiti wa chuo cha Mansoura Egypt walithibitisha utendaji mkubwa wa kazi ya mafuta ya ubani,na pia hutumika kuondosha wadudu wa kwenye meno,fizi,ngozi na mdomo au nyumbani kwako.
    boost-immune-system.jpg
  3. husaidia kupambana na kansa au maumivu ya dawa za kansa mwilini, pia ukichanganya na mane mane ni bora zaidi kwa matokeo mazuri kwa mwenye tatizo la cancer watafiti wa kichina pia walithibitisha hili baada ya kuthibitishwa muda mrefu sana na mtume Mohammad (s.a.w) pia huondosha uvimbe wa ndani ya mwili uvimbe wowote mwilini na kansa ya maziwa pamoja na ngozi ndio zimejaribiwa zaidi na kutoa matokeo mazuri zaidi pale ambapo ubani ukichanganywa na ubani ule manemane, ubani ninaouzungumzia hapa ni ubani pure sio ile ubani mnayonunua inanuka mikaa, kumbuka kuna aina nyingi sana za ubani.
  4. kutoa kila aina ya bacteria ndani na nje ya mwili,
  5. husaidia katika kupunguza uzee wa ngozi na kuondosha wekundu katika ngozi ya mwili wa mtu na kumuweka aonekane bado kachangamka
    skin-aging.jpg
  6. husaidia katika kukomaza kumbukumbu za mtu na kuchangamsha akili ya mtu na kuongeza maarifa pale harufu yake inapopita katika pua na mafuta katika mishipa ya fahamu
  7. hurejesha usawa wa mihemko ya mtu kama amezaliwa ana mihemko ya jinsia tofauti na tabia za jinsia tofauti na yake
  8. husaidia katika kurekebisha mfumo wa choo kama choo kigumu kina matatizo au njia ya choo kama ina mapele na bawasili husaidia kuponya
  9. husaidia katika kulala kama mtu hukosa usingizi basi husaidia kulala kwa utulivu na amani,
  10. husaidia kupunguza kukurupuka hovyo na maumivu na pia harufu yake husaidia kuondosha kifua cha athma na maumivu katika mifupa,misuli na maungo
hizi ni baadhi tu ya faida za ubani na mafuta yake kwa upande wa mwili tu lakini pia kuna faida zingine za kiroho kama kupendwa na watu, kuweka usawa katika nyumba yako,kurekebisha kauli na kufanyia mambo kemkem ambayo ni ya faida takuja kuzungumzia hiyo pia

Rakims
Nataka ubani mashtaka
 
Kuna mtu nilikuwa namfahamu,yeye akipita sehemu mkasikia harufu ya ubani umechomwa kichwa kinaanza kumuuma,labda mpaka mtakapoondoka ndo kinaachia. ...
 
π•Šπ•  π•₯π•¦π•π•šπ• π•«π•’π•π•šπ•¨π•’ π•žπ•¨π•–π•«π•š 𝕠𝕔π•₯𝕠𝕓𝕖𝕣 23 ,π•₯π•¦π•Ÿπ•’π•—π•’π•’ π•œπ•¦π•”π•™π• π•žπ•’ π•¦π•“π•’π•Ÿπ•š?
 
Back
Top Bottom