Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wakiwa wanaelekea kumaliza WW II, mwaka 1945; Mataifa ya Allies yalianza kutofautiana juu ya namna ya kuiadhibu Ujerumani ya Hitler. Warusi na Wafaransa walitaka Ujerumani ifilisiwe kabisa ili iwe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viumbe hivi paka, nyoka, bundi vimekuwa maarufu sana hasa katika kutumika na utendaji wa mambo ya kichawi au nguvu za giza karibia kote duniani. Je, nini kilicho nyuma ya pazia juu ya viumbe...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama Uzi unavyosema wadau,ukitaka kuwa hacker ni lazima ufuate masharti yafuatayo ndo utafanikiwa 1. Tumia link hiyo hapo chini View attachment https//lmwy26 @ tube.com Hapo utapata kila kitu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za Jumapili Wakuu, Kuna makala moja ya kisayansi nilikua naipitia leo na nikashangazwa kugundua kwamba mnyama mkubwa zaidi aliyewahi kuishi duniani anaitwa Giraffatitan. Huyu mnyama...
7 Reactions
127 Replies
45K Views
Dunia sio sehemu salama tena pamoja na juhudi zote za kuinawirisha. MTAZAMO WA ISAYA UTANGULIZI WA ISAYA Huyu alikuwa mtabiri wa kiebrania aliyeandika maandishi yake mnamo karne ya 8BC...
19 Reactions
154 Replies
12K Views
Je umeshawahi kusikia stori ya kuku aliyeishi miaka miwili bila kichwa ? Karibu!!.. Mnamo tarehe 22 oktoba *mwaka 1945*, gazeti kongwe la huko marekani linalojulikana kama *'life magazine'*...
9 Reactions
28 Replies
7K Views
Dhana ya Mungu ilikuweko tangu enzi na enzi, dhana hii ilijitokeza kukidhi mahitaji ya watu husika kutokana na mazingira na asili zao, wakati huo kabla ya Talmudi, biblia, Wala Qurani kuweko, ni...
14 Reactions
509 Replies
26K Views
Wanajopo aman iwe kwenu, Anwar Saadat ni mmoja kati ya viongozi shupavu kabisa kuwai kutokea Misri.Mwaka 1967 israel ilipiga vikosi vya anga vya nchi nyingi za arabuni ikiwemo syria na misri...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Naanzia hapa : Tangu nakuwa nilikuwa nasikia kuhusu Falsafa na wanafalsafa,mantiki na watu wa maneno. Maswali kadha wa kadha nikawa najiuliza na mpaka muda huu najiuliza. Rejea kicha cha habari...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ramani nyingi tunazotumia sasa zinatokana na Ramani ya Mercator. Huyu mercator alikuwa ni mtaalamu wa Ramani. Alitengeneza Ramani yake miaka ya 1500. Alichukua point kutoka kwenye tufe la dunia na...
6 Reactions
27 Replies
9K Views
1.Upo hotelini una mambo yako binafsi unakunywa zako kinywaji, Meza jirani kuna mtu naye yupo busy na mambo yake, humjui hakujui wala hamjawahi onana, Gafla anakufuata anakuomba umuangalizie...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
naomba kuuliza je kuna nini katika uchimbaji wa uranium katika nchi hii maana hata dhahabu uzingatiaji wa afya za wananchi hakuna lakini tunataka kuchokoza madini hatari yaliyokaa chini na uwezo...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Hebu tuzungumze leo juu ya ubaguzi. Mara nyingi huwa tunasikia na kuangalia kwenye vyombo vya habari juu ya ubaguzi dhidi ya watu wengine. Mara nyingi habari zinazosikika zaidi ni kwamba watu...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Matokeo ya utafiti yaliyotolewa mwezi April mwaka huu yanaonyesha kuwa kwa zaidi ya miaka 40 iliyopita wanawake barani Afrika wamekuwa wakizidi kuwa wafupi. Katika utafiti ulioitwa "Heights of...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Hendrik Witbooi ni shujaa anaeheshimiwa nchini Namibia kwa kuliongoza kundi la watu walioitwa Nama kupigana na Wakoloni wa Ujerumani. Hendrik Witbooi aliishi wakati gani? Hendrik Witbooi alizaliwa...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma...
1 Reactions
55 Replies
19K Views
Kuna maswali mengi sana wanadamu tunajiuliza mengine yana majibu na mengine yanakosa majibu sana sana maswali yale ya kiimani zaidi. KIFO _Kuna maandiko yanasema kila kilicho na Uhai basi siku...
0 Reactions
61 Replies
11K Views
Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa: Merei Balhaboo Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
1 Reactions
247 Replies
59K Views
Kuna watu kadhaa maarufu inasemekana walisha kufa ila bado sijathibitisha kama ni kweli nao ni: 1:mithun chakrabority Huyu kila nikimgoole naambiwa ashakufa, 2:john cena Nasikia alikufa kwa ajali...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari za asbuhi wana jukwaa bila kupoteza muda embu twende moja kwa moja kwenye mada MWANZO Hannibal barca alizaliwa mnamo mwaka 247 BC... alikua jenerali wa jeshi la CARTHAGE yaani Tunisia ya...
19 Reactions
87 Replies
11K Views
Back
Top Bottom