2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
“Project Blue Beam is a conspiracy theory that claims that NASA is attempting to implement a New Age religion with the Antichrist at its head and start a New World Order, via a technologically-simulated Second Coming.”
mpango huo unaendana na mkakati wa muda mrefu wa kuwaaminisha wanadamu kua kuna UFOs(viumbe wanaoishi sayari za mbali)
1: mpango wa kuonyesha picha kubwa angani kwa tcknolojia ya 3D na sauti kubwa ili kuuaminisha ulimwengu kua yesu amerudi kwa mara ya pili ulimwenguni. ikiendana na kuvunja sehemu zote za kihistoria za kidini ulimwenguni kupitia matetemeko ya ardhi
2: kutumia technolojia ya telepath kuwasiliana na watu ulimwenguni ili kuwaaminisha kuhusu dini mpya ulimwenguni na kuwafanya watu waamini kua mungu anawasikiliza.
3:kutengenza machafuko ulimwenguni, kuaminisha kua viumbe(Allien) wamekuja ulimwenguni, kuwaaminisha wakristo kua viumbe wema wamekuja kuukomboa ulimwengu kutoka kwa mashambulizi ya shetani.
4: kutumia mifumo ya kielectronic kumanipulate wanadamu na kuwaathiri kisaikolojiwa wanadamu. ili kuruhusu Dini hiyo kushika hatamu
Project Blue Beam | NEW WORLD ORDER PLAN
Last edited: