Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kama solar system ina sayari tisa na jua ndiyo kitovu cha maisha, njoo tuangalie yafuatayo Tumesoma na kuelewa kuwa jua ni nyota na tukaambiwa tunaona kubwa kwa kuwa iko karibu na nyota tunaziona...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Natumai wote ni wazima humu jamvini Baada ya kusoma baadhi nyuzi zinazojumuisha masuala ya kiimani nimeona baadhi ya maneno yakikebehi hili jina/neno (ALLAH) Kwa hiyo baada ya kuona hili ni...
14 Reactions
61 Replies
19K Views
Matamko haya mawili yamekuwa maarufu vinywani mwetu na masikioni. Popote yanapotamkwa matamko mawili haya huwa yanahusishwa na jambo fulani au hali fulani kutokea baada ya jambo fulni au hali...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
"I can't believe that God is playing the game of dice with the world" by Albert Einsten. Wakuu wasalaam, Bila kupoteza muda niende kwenye mada husika,Kuanzia karne ya 19 hadi sasa kumeshuhudiwa...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa zaidi ya maika 2000 watu wamekuwa wakiaminishwa kuwa Mtume Petro aliuwawa Roma na kuzikwa huko kwenye eneo lililojulikana kama tropaion. Tena imekuwa ikifundishwa na Kanisa Katoliki kuwa Petro...
32 Reactions
397 Replies
51K Views
Tanzania Inter-bank Settlement System (TISS) ;) mwisho wa kazi siku ya Alhamis ni mchana saa sita mpaka Jumatatu asubuhi; kwa mujibu wa benki fulani. Ukidipoziti cheki ya benki nyingine Alhamis...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Jua ndio kitu pekee ambacho kiko katikati ya mfumo wa jua. Jua ni 99.86% ya uzito(mass) wa mfumo wa jua. Kimsingi jua ni mkusanyiko wa hydrogen na helium, 74.49% hydrogen na 23.8% helium. Joto...
6 Reactions
50 Replies
17K Views
MAHUSIANO YA TANZANIA NA MAREKANI (1) Baada ya ubalozi wa Marekani kutoa taarifa ya kuguswa na hali ya mbinyo wa demokrasia nchini, nimeona vema tufahamu kwa kiasi fulani, mahusiano yetu na...
12 Reactions
24 Replies
5K Views
Umasoni ni chama cha siri kabisa cha Kiyahudi, kimeanzishwa huko enzi za Kiroma sehemu za Aurshalim (Jerusalem) wakati wa ufalme wa Herodus Aghriba baina ya mwaka 37-44 M, aliyekuwa mjukuu wa...
4 Reactions
22 Replies
11K Views
Kuanzia tarehe 26/07/2018 usiku saa 7 hadi tarehe 19/08/2018 sayari ya Mercury inakua inazidiwa kasi na Dunia hivyo sayari ya Mercury kuonekana kama inarudi nyuma lakini kiuhalisia inakua...
2 Reactions
126 Replies
14K Views
Utangulizi Kabla ya kufanya uchambuzi huu wa wazi na kujikita ndani kabisa kuna mambo ya msingi ya kujiuliza kabla ya kuchimba Zaidi, kwanza fahamu kwamba kutafuta ukweli juu ya jamii yako au...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Mh.makamu balozi Inmi Petterson ukweli ni kwamba East Africa INA watu wanaokizi vigezo vya kushinda kuwa wakazi wa Marekani ila ni kama mnapendelea hivi watu was kanda nyingine kama Kusini na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za weekend wanajukwaa natumaini wote wazima bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada ya leo. UTANGULIZI Richard sorge a.k.a Ramsay alikuwa jasusi wa urusi ya zamani yaani...
22 Reactions
42 Replies
10K Views
Niamini Mimi si mchawi,wala jini, atakae kuwa amekuchanja Bali Mungu mwenyewe, Hapo yakupaswa kuwa mvumilivu maana utapitia mambo makuu na baadae kufuzu kwa ajili ya kuitumikia jamii Niamini...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Pia kuna nchi zinaitwa latin america lakini ukiangalia ramani nchi inayoitwa Latin haionekani naombeni kujuzwa kuhusu hili wadau mana lugha yao ni moja ya lugha maarufu duniani na vitu vingi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba kujua zaidi ya nijuavyo maana ya kitu VETTING,naomba nijue zaidi kama vettingi inatoa majibu sahihi kwa Tanzania. Wanasemaga vetting ni kumchunguza mtu kwa ajili ya kuajiliwa kushika nafasi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Masiku kadhaa yamepita nikiwaza kuandika au kuhoji jambo hili,lakini nikawa nasita. Ila leo hii imenibidi nifanye hivyo,sababu masiku nayo yanazidi kupita. Sayansi imepewa uwezo mkubwa kuliko...
1 Reactions
105 Replies
10K Views
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha. Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha. Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Habari za mchana wana JF natumaini wote humu wazima basi moja kwa moja niende kwenye mada husika. UTANGULIZI Wakati nasoma biblia nikakutana na mstari huu ambao ulinipa maswali sana Mwanzo 1 6...
16 Reactions
87 Replies
9K Views
Back
Top Bottom