Yani hapa unaamini kabisa umejibu swali lililoulizwa? Na Coptic church liko nchi gani?haya makanisa yapo zaidi kwenye nchi za kiarabu mfano misri,libya,sryria,nk
Eastern catholic church n wale Wa Orthodox ambao walikuja kutambua na kukiri uongozi Wa papa na hivyo wakarudEast Catholic Church, lilijulikana hivyo kabla ya mgawanyo. Lakini pia nalo lina watoto, hivyo wanatofautiana, acha wajuvi zaidi waje.
Ni afadhali bashite kuliko wewe.. Unakosoa nini na wewe unaandika nini!?Napenda Kujua historia ya Kanisa La Orthodox.
Je kuna mahusiano kati ya Orthodox church na Roman Catholic church?
Nimejaribu ku Google lakini sijaelewa, mwenye maelezo mazuri na ya kueleweka anisaidie tafadhali. Karibuni.
By
Prof
Yani hapa unaamini kabisa umejibu swali lililoulizwa? Na Coptic church liko nchi gani?
Sasa nimeelewa ni kwa nini Bashite alipata division zero.
Hivi unafahamu maana ya Greek Othordox?
Orthodox Church lilijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100Je kuna mahusiano kati ya Orthodox church na Roman Catholic church?
Wewe unafahamu..?Hivi unafahamu maana ya Greek Othordox?
Ngoja tulale kesho tutakuja deeply,ila kwa kifupi Orthodox ni tawi la kanisa katoliki kwa sasa japo lilijitenga wkt huo.....!Kwani historia yake iko VP... deeply deeper