Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Salute Comrades Warning: Kuna Computus (Calculations) Kwajina Anaitwa St. Dionysius Exiguus (Dionysius the the humble) tamka Dionisi. Kazaliwa mnamo mwaka 470 na kufariki mwaka 544 A.D, kazaliwa...
23 Reactions
144 Replies
19K Views
SEHEMU YA KWANZA Watu wengi wanashindwa kutofautisha dunia na ulimwengu. Dunia ni hii sayari tunayoishi ya earth na Ulimwengu (Universe) ni hii dunia tunayoishi na sayari zote na kwenda zaidi ya...
9 Reactions
65 Replies
13K Views
Jinsi ya kujua namba yako ya bahati Chukua tarehe yako ya kuzaliwa andika sehem alafu zijumlishe mpaka upate namba.moja. Mfano Date20 = 2+0= 2 Month03 = 0+3=3 Year 1988= 1+9+8+8=26 = 2+6= 8...
3 Reactions
91 Replies
57K Views
Science tells us, Energy cannot be created nor destroyed. Its a scientific theory many choose to believe. Albert Einstein believed that every thing is energy. He dared to say that matter is a form...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
habari wana jamvi,katika pitapita mitandaoni kutafuta elimu juu ya matumizi ya mafuta ya upako nimekutana na hii.Mtanisamehe ambao lugha ya kiingereza inaweza kuwa shida lakini tuombe uzima kama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwaka huu 2020? ukiwa bado ni mpya kabisa, tumeshuhudia majanga mengi yanatokea kidunia pia na ndani ya nchi ya Tanzania, nini tafsiri yake? au ni mwaka wa majanga na utakaoondoka na watu maarufu...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Mission to Saturn Mwaka 1997 Nchi za Mrekani, Itali na umoja wa ulaya zilianzisha mission ya kwenda kufanya utafiti kwenye sayari ya Zohali (Saturn). Misheni hiyo ilijulikana kwa jina la Cassini...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za jioni hii wakuu, poleni sana kwa majukumu ya siku nzima ndugu zangu na kwa wale wanajiandaa kuingia night shift nawatakia maandalizi mema na kazi njema. Eeeeh Buana, mie nimekuwa...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Salaam wakuu Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran...
17 Reactions
645 Replies
53K Views
Machi 6-8 1986 Dr. Ben Yosef Jochannan alifanya mhadhara jijini London kwa Jumuiya ya Waafrika (watokao Africa na Carribean).Haya yalikuwa maneno yake: Kwanza nitatoa shukrani zangu kwenu kwa...
46 Reactions
357 Replies
42K Views
Naomba kuuliza wataalam wenye uelewa wa kijeshi,inakuwaje Rada za nchi lengwa kwa Drones zinashindwa kugundua mashambulizi? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
82 Replies
12K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu mwelekeo wa sera za Marekani hususan kuanza kuweka vikwazo kwa wanasiasa/viongozi wa Tanzania kutemebela nchi yao na kupiga marufuku WATZ kuomba green card kwa njia ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Manabii wa uongo au viongozi wa dini wanaotumikia maslahi binafsi na watawala waovu ni mihimili ya uovu isiyoweza kutengana. Manabii wa uongo huwatumia watawala waovu ili kupata ulinzi na uhalali...
6 Reactions
5 Replies
3K Views
Ukiangalia Namna Dunia Ilivyo, Unaona Kabisa Sisi Watu Weusi Ni Mizigo Tu Dunia Hii Sababu Kubwa Ni: Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Magonjwa. Uwezo Mdogo Wa Kupambana Na Wanyama Wakali. Uwezo...
0 Reactions
79 Replies
10K Views
CELESTIAL CITY OF NEW JERUSALEM PHOTOGRAPHED BY NASA’S HUBBLE SPACE TELESCOPE photo source: weekly world news magazine WASHINGTON, DC – Despite new repairs to the Hubble Telescope, NASA...
3 Reactions
123 Replies
23K Views
Kutoa kafara ni kanuni ya Ulimwengu wa roho ambayo ipo tangu kuumbwa kwa Mbingu na Dunia. Na kanuni hiyo haitegemei kama kuna Agano au laa, Tangu mbinguni hadi kwa adamu, hadi Kaini na Abeli, hadi...
15 Reactions
47 Replies
21K Views
Habari Wapendwa! Ilikua ni siku ya kawaida katika mji wa Makkah, ambapo mahujaji siku hii walikua wakiendelea na pirika zao za kuikamilisha ibada ya Hija ifanyikayo kila mwaka mara moja. Ni...
12 Reactions
26 Replies
7K Views
wakuu naomba uchambuzi wa kina Juu ya mwanasheria huyu. 1. Alisomea sheria wapi na kuhitimu mwaka gani? 2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama na athari zake kisiasa ndani ya chadema 3...
7 Reactions
150 Replies
46K Views
Kufeli kwa shirika la ujasusi nchini Marekani CIA kugundua ishara na onyo la shambulio la Septemba 11 2001 , limekuwa mojawapo ya maswala tata katika historia ya huduma hiyo ya ujasusi. Kumekuwa...
7 Reactions
38 Replies
10K Views
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti...
6 Reactions
105 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…