Everything in our imaginations, exists!

Everything in our imaginations, exists!

Umuzukuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2019
Posts
624
Reaction score
561
Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!

Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
 
Interesting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nipo nawaza na kufikiria kwamba tiba ya coronavirus ipo long time...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani kivipi?
Wanaofikiri waafrika ni nyani ni kweli Kwa sababu wanafikiri?
Wanaoamini ni watakatifu ni kweli since wanaamini?

Lazima kuna mstari wa kipi kweli na kipi sio
 
Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!

Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
Imagination it's not a reality hakuna ukomo wa kufikiria Ila Kuna ukomo wa kuweza kutenda Jambo ambalo umelifikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msomaji siku hizi naandika comment
Sio kweli kwamba kila unachokiwaza kipo kwa sababu mda mwingine unawaza kulingana na mafunzo ya uongo iliyokwisha kufunzwa na wakufunzi wako wanajua kua ni uongo ila ni lazima uelewe huo uongo ili usije ukasumbua
 
Kwahivyo Mungu Mkuu yupo na anaishi.
Kwahivyo Mungu Mkuu yupo na anaishi.
Wanaowaza Mungu hayupo ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani kivipi? Wanaofikiri waafrika ni nyani ni kweli Kwa sababu wanafikiri? Wanaoamini ni watakatifu ni kweli since wanaamini? Lazima kuna mstari wa kipi kweli na kipi sio
Kuna ukweli na uongo! Ukweli upo(Ni kwa njia ya mawazo tu)..uongo unaishi...upo!!😊
Lakini haya yote yalifikiriwa tu.....Ila yapo.
Sayansi Ni Imani!!.....Tena kubwa.. mfano..mtu umetengeneza bulb ya umeme......anaamini baada ya kumaliza kuitengeneza itawaka(kwa kuunganisha na chanzo Cha nishati)
Angalizo:nishati kisayansi hiajawezekana kuthibitishwa.....inaaminika ipo😊😊...nikweli ipo(je Ni uongo?? Je Ni kweli???)
 
Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!

Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
Usitumie Nguvu nyingi kuwaza vitu bingine. Jiulize nafsi yako ilikuwa wapi kabla ya kuzaliwa? Itakwenda wapi banda ya kufa?. Naamini unauona mwanga wa Jua kila mara ebu waza tu Umbali wa jua na ulipo ni Mile ngapi na kawahi kufika na alipima kwa kutumia nini Joto lake?. Waza kiuhalisia tu kwani upo duniani ?.Hivi wewe ni Nani?. Nakuonya tu ukiweza kujibu haya maswali Lazima utapelekwa Milembe Hospital kwa Matibabu. Nakushauri anza kuangalia singeli za akina Meja kunta na Nyimbo za akina Nasibu Abdul. Mengine waachie Maaskofu na Mashekh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom