Kagame's serial killers

Kagame's serial killers

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
They are well trained with skills on combat karate, a type of defensive fight which is regularly exercised in the army.
These professional killers are being suspected of playing part in the mystery car accident of Rev Mtikila which grabbed his life on the spot .

Their roles are to hunt any Kagame's opponents wherever they're in the world, except in the US, Israel and in the UK, because any attempt to kill opponents in the US soil ,is an attempt that will terminate a regime of any tyrant across the world.

Some of those killers are said to be beautiful women who pose particularly for trapping the aimed prey in special angles.
It's too dangerous to criticize Kagame publicly, be you're a writer, politician, or an activist.

If you do so, get to know that, you're no longer safe,you can only be safe in the US soil and Israel .
 
Mbona mkwere yupo hapa hapa Bongo na PK kamshindwa?
Mkuu mbona unashindwa kutumia hata akili kidogo tu uliyozaliwa nayo?
Mkwere ni Rais mstaafu, Unadhani ni mtu wa kawaida huyo?
Kumdhuru mkwere ni kuidhuru Tanzania nzima na jibu lake ni Vita kamili hadi Kagame anapinduliwa Kama Idd Amin.
 
Kwa hiyo umapingana na maelezo yako ya post? Maana anasema wanaweza kuua MPINZANI yeyote wa Kagame popote alipo kasoro US, Israel na UK.

Na hata hivyo hizi ni hadithi za kusadikia tu mkuu, Who is Mtikila by the way mpaka serial killers watumike.
 
Ndo maana unampinga mtoa mada kumbe hujui mambo mengi,Kama hujui hata kampeni aliyekuwa nayo Mtikila against Tussi domination
 
Wengi ni watoto humu wanakuja kubisha tu bila kuelewa mambo, achana nae mkuu
 
Kwa hiyo umapingana na maelezo yako ya post? Maana anasema wanaweza kuua MPINZANI yeyote wa Kagame popote alipo kasoro US, Israel na UK.

Na hata hivyo hizi ni hadithi za kusadikia tu mkuu, Who is Mtikila by the way mpaka serial killers watumike.
Naona hujaelewa mada, jiulize kwa mfano TISS wamuue Mange Kimambi ndani ya ardhi ya US, kisha Marekani iseme Tanzania imehusika, Unadhani utaona tena Bendera za CCM kijijini kwenu?
Hili la Mtikila, wewe huwezi kujua lolote, sitaki kutumia energy kubwa kukuelewesha ni bora nikuache tu
 
Jinga hilo halijui lenyewe lipo kwa ajili ya kusifu na kuabudu

Isitumie nguvu nyingi kumfundisha mjinga
 
Some of those killers are said to be beautiful women who pose particularly for trapping the aimed prey in special angles. It's too dangerous to criticize Kagame publicly, be you're a writer, politician, or an activist.

Do we have these women here in JamiiForums??

Cc: mahondaw
 
Kwa hiyo umapingana na maelezo yako ya post? Maana anasema wanaweza kuua MPINZANI yeyote wa Kagame popote alipo kasoro US, Israel na UK.

Na hata hivyo hizi ni hadithi za kusadikia tu mkuu, Who is Mtikila by the way mpaka serial killers watumike.
Daaa..
Mtikila...
 
Ndo maana unampinga mtoa mada kumbe hujui mambo mengi,Kama hujui hata kampeni aliyekuwa nayo Mtikila against Tussi domination
Watu wa namna hiyo huaga mnawajibu wa kazi gani? SOma jifanye hujaona, achana nae, hajui chochote halafu kakomaa na ubishi tu. Endelea kutoa madini mkuu
 
Back
Top Bottom