Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Humu mpo magenius, Watu mliojawa maarifa na hekima, Wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo mbali mbalimbali Note: Majibu na hoja yazingatie mantiki
3 Reactions
53 Replies
1K Views
Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Wana JF, kamwene Leo nataka tuguse kidogo sayansi ya siasa na intelijensia, lakini kwa lugha ya kwenye kahawa na kashata ili tusiumizane vichwa. Kuna nchi moja (tuiite nchi ya kusadikika)...
34 Reactions
30 Replies
2K Views
Peace||amani iwe nawe ✌🏾 Achana na ule upande wa pili wa Shilingi(sarafu), noti 💵 inapande tatu ukiachana na zile mbili zinazofahamika. Upande wa tatu wa noti una picha au alama iliyowekwa na...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Multiverse ni wazo la kisayansi linalosema kuwa kuna uwezakano wa kuwa na ulimwengu au dunia nyingi na miongoni mwao huenda zikawa sawa na dunia yetu kumaanisha kuwa na version ya watu wa dunia na...
8 Reactions
26 Replies
809 Views
Mpaka leo ukiwauliza waNAMIBIA kuhusiana na unyama ambao walitendewa na wajerumani miaka hiyo hasa kwa haya makabila mawili ya Herero na Nama Usishangae kwaunayemuuliza akianza kulia kwa kwikwi na...
8 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari Wanabodi, Nakuja Tena na mada inayozungumzia kila kitu kuhusu Aura(Nguvu Ya Kwanza Kabisa Rahisi Ya Kufanywa Na Kila Mtu Kirahisi) Aura Ni Nini!? Wengi wamekua wakiskia tu kuhusu...
24 Reactions
282 Replies
75K Views
ISRAEL vs IRAN -01 Nimetamanani kuleta makala hii kutoka kwenye kitabu changu cha ISTILAHI ZA UHALIFU NA USALAMA, ili watu wajifunze na kujadili wakiwa na taarifa ambazo naamini awaki hawakuwa...
3 Reactions
2 Replies
855 Views
"About ENERGY AND SEX For those who take sex very lightly, I leave this information here. Chakras regenerate every 7 years, so if you've been with a person even once, their energy will stay with...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na...
14 Reactions
1K Replies
311K Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
Mwanamuziki Snura Mushi amewhi kutamba na wimbo wake maarufu wa Majanga kisha akapotea kimuziki hii ina maana kwamba msjanga huja tu ghafla na kuwatetemesha wanadamu kisha hupotea ila kamwe...
7 Reactions
72 Replies
15K Views
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Balozi Job Masima ameanza kazi rasmi ya kuiwakilisha Tanzania nchini Israel akiwa balozi wa kwanza nchini humo tangu Tanzania (wakati huo ikiitwa Tanganyika) ivunje uhusiano wake na taIfa hilo...
20 Reactions
202 Replies
37K Views
Utangulizi Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) ni chombo cha kijasusi cha serikali ya Tanzania ambacho kinahusika na ulinzi wa usalama wa taifa kwa njia ya ukusanyaji wa taarifa za...
34 Reactions
183 Replies
29K Views
Hello y’all.. NB: Naomba moderator mada hii msiihamishie jukwaa la dini maana huko itakosa wachangiaji na lengo langu la kutaka kujuzwa jambo hili halitatimia and that will leave me frustrated...
43 Reactions
1K Replies
51K Views
liver Turcx dan Paus en despit de lames
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Nilipoangalia mfululizo/series hizi – The Godfather. Game of Thrones. Breaking Bad. Ozark. Snowfall. Narcos. Better Call Saul – nilikuwa natafuta burudani. Lakini niliyokutana nayo ni ukweli...
55 Reactions
47 Replies
4K Views
Number one means beginning New things will happen Number one means uniqueness It will be unique year Number one means wholeness 2026 2+ 0 + 2 + 6 = 10 1+0 = 1 -Also there will be new president...
17 Reactions
24 Replies
910 Views
CountCapone Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani 1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika 1885-1919...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…