Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Makabila yote yanaweza shindwa maisha mjini na kukimbia na kuwaachia mji wamasai,sasa najiuljza huwa wanaishije? Natamani nishinde na mmasai kuanzia asubuhi hadi jioni anapoenda kulala kwa mwezi...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Mwaka jana nilikuwa na boss wangu Mjerumani. Siku moja aliniambia mnajua nyinyi wa Africa mko mwisho katika jamiii zote 4 duniani? Yani 1 wazungu 2 Mongolians (Chinese&Japanese& Koreans) na wote...
16 Reactions
116 Replies
14K Views
Baada ya kufanya jaribio lake la pili kampuni ya Space X inayoongozwa na ELON MUSK la kurusha rocketi ya Falcon Heavy kuna kitu kipya kimeanza kusumbua akili ya “Alien Mask” ambapo kampuni yake...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
tunaanza na 0,1,2,3.4..5.6......10..11..12...13 nk lakini mwisho wake ni ngapi
1 Reactions
63 Replies
15K Views
Salaam Wandugu! Ni Jambo ambalo najiuliza kila Uchao, kama kweli Uumbaji wa Mungu Ulikuwa ni wa Haki, Kwanini Kuliwekwa Matabaka ya Ngozi muonekano, yaani Nyeupe na Nyeusi? Mbaya Zaidi, Ngozi...
2 Reactions
76 Replies
15K Views
Wakuu sote tunafahamu kuwa giza hutokea pale mwanga unapotoweka.. Tumeona kuwa vyanzo vya mwanga ni kama vile nyota, umeme na kadhalika. But CHANZO HALISI cha giza ni nini?(source of darkness)...
8 Reactions
69 Replies
13K Views
Habari za wakati huu wakuu, heri njema ziwe nanyi. Nimejaribu kufikiria jinsi mwanadamu anavyoiendesha dunia kwa muda mrefu sasa pasipo ushindani wowote utokao kwa viumbe wengine mfano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mara tu unapozaliwa elimu ya kwanza nikuanza kukuprogramu kuwa mtu mwingine ambaye jamii inamwitaji hivyo jamii itakupa jina,watakuamulia lugha, na wataanza kukufundisha neno la kwanza la kutamka...
10 Reactions
26 Replies
5K Views
Kinachoifanya Dunia viumbe hai waezee kuisha ni kuwepo kwa Magnetic field na Ozone layer Magnetic field Jua linatoa miale ya mwanga ambayo inatumika Kama mwanga dunia na inakuja na upepo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukisoma vizuri asili ya waafrika na sehemu mojawapo ambayo sisi waafrika tumekuwa tukijivunia kila tunapozungumzia ustaarabu tutagundua kuna sehemu hatupo sawa. Misri ni moja ya nchi za kale sana...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Naamini Mungu yupo, na ndo ametujaalia akili na utashi wa kupambanua mambo. Mara zote linapokuja suala la kuhoji origin ya hivi vitabu vitakatifu, viongozi wetu wa dini wanakimbilia neno moja tu...
64 Reactions
2K Replies
205K Views
Muujiza ni kitu kinachofanyika ambacho akili za binadamu haziwez kuelewa, ndo maana tunapokutana na mambo magumu tunaomba muujiza Kwa sababu uelewa wa akili zetu umefika mwisho, na akili...
9 Reactions
40 Replies
8K Views
Tuna ndugu zetu wana asili ya kiarabu ila ni wazawa tangu ukoloni na ni wasomi kama huko Urambo,Sikonge na kwingineko,sheria inasemaje kuhusu wao kujiunga na depo CCP na kuwa askari polisi ikiwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoongoza duniani kwa kuathirika na kuwepo kiwango kikubwa cha madini ya Fluoride (Fluorine) ambayo husababisha Ugonjwa wa Fluorosis. Mwaka 2008, Tanzania iliamua...
3 Reactions
36 Replies
8K Views
Na. Belvin Kagoma Miaka ya 1970 nchi ya marekani walipitisha Sheria maalumu ya Uhuru wa Kupata Taarifa (Freedom of Information Act). Moja wapo ya vipengele vya Sheria hii ni kulitaka Shirika la...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Msiogope !! Covid 19 sio mwisho wa dunia. Mwisho wa dunia will be like around the year 2100 to the year 2500. And these are my reasons. The world can only contain 10 billion people. In other...
14 Reactions
90 Replies
15K Views
Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire...
8 Reactions
59 Replies
14K Views
Mwaka 2011 Wachina walitamba sana waliporusha satelite yao ijulikanayo kama Tiangong-1 kwenda angani. Satelite hiyo ilishindwa kukaa kwenye trajectory yake na hivyo kupungua speed kadri siku...
4 Reactions
77 Replies
10K Views
NJIA KUMI ZA KUMTAMBUA MTU ANAYESEMA UONGO WAKATI UNAONGEA NAYE. kuna msemo unasema kwamba kila mtu ni muongo hapa duniani yaani , hakuna mtu ambaye ameshawahi kuishi bila kusema uongo kabisa...
13 Reactions
27 Replies
7K Views
Poleni na Majukumu wana JF wote, zaidi wale mashabiki wa jukwaa la Jamii intelligence. Nilipenda kutupia UZI (thread) huu katika jukwaa la Great thinkers, kwa imani kule wapo Wasomi, Wazee wenye...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…