stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Wakuu sote tunafahamu kuwa giza hutokea pale mwanga unapotoweka..
Tumeona kuwa vyanzo vya mwanga ni kama vile nyota, umeme na kadhalika.
But CHANZO HALISI cha giza ni nini?(source of darkness).
na Linatokea/linazalishwa wapi kwenye hii Universe?
Im sorry for this sound like a strange question..
Wajuzi msaada tafadhali.