Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

ungufu
1 Reactions
10 Replies
706 Views
Nina kama 5 yrs tangu nimeanza kupata asthma attack as we speak nipo macho. Kipindi cha baridi kikianza ninapata shida kweli. Naombeni Dawa jamani Sio ya kurithi hamna mtu kwetu anayo
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari Wakuu Moja kwa moja kwenye mada kuu, Inawezekana na wewe ni mmoja wa wale raia ambao kama walevi hivi unapiga hatua tano mbele unarudi saba, Unasema naacha kabisa kupiga hii kitu inaitwa...
0 Reactions
4 Replies
386 Views
Wakuu hii shida inanitesa sana. Hali hii hutokea kila baada ya dakika kama 15 au 20 na hasa nikiwa nafanya kazi yoyote au nikowa natembea tu. Hali hii pia huambatana na kama kizunguzungu ikiwa...
1 Reactions
17 Replies
843 Views
Habari, Tuombeane asee this week kuanzia j5 siko sawa kabisa, ni mgonjwa na sijawai umwa au kusumbuliwa hivi. Nakohoa damu then nimecheki hospital wanasema kuwa sina shida yoyote labda kama...
12 Reactions
78 Replies
3K Views
Hi GT! My wife is pregnancy (5months) her clinic card shows she has blood group 0 and rh +ve and PMCT1 Update! Nilileta hii mada kipindi hicho na kiukweli ili kupima upepo nipate majibu ya...
4 Reactions
112 Replies
106K Views
Tumeelewashana kuhusu madhara ya soda...humu na mimi kwa kiasi kikubwa nimepunguza kunywa soda na nataka kuelekea kuacha kabisa.. sasa kuna hili la maji ya chupa.....je yana madhara? yana...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida...
2 Reactions
5 Replies
762 Views
Hawa mademu wa telegram au mabwana zenu mtaani wasiwa tengenezee uhalali wa kufanya sex kavu kavu kisa tu mtapima vvu siku hio moja. Sawa kaswende inatabika, ila utagharamika, unaweza muathiri na...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kichwa kinajiekeza. Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia...
0 Reactions
49 Replies
20K Views
Habari za Jumapili wadau wote wa JF. Hili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu- Kwamba mtoto anapozaliwa ni lazima alie na asipolia automatically basi, jitihada zitafanyika ili alazimishwe...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko. Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC...
15 Reactions
186 Replies
14K Views
Nilipata muwasho mkali sana mwilini nikapewa tubes za kupaka, cetrizine na predisolone ila bado hali haikubadilika. Nikaenda nika pata vipimo vya full blood picture na uric acid. Bloodpicture...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano...
1 Reactions
1 Replies
380 Views
Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Madaktari wa binadamu na watalaamu wote wa afya kwa ujumla mlioko humu ndani,naombeni ushauri wa tatizo langu linalo nisumbua kijana wenu. Miezi ya mwanzoni ya mwaka huu 2024 majipu yalitokea...
0 Reactions
9 Replies
527 Views
Habari zenu wapendwa naombeni msaada nina tatizo kimeo kimerefuka sana mpaka kinagusa ulimi wakati mwingine naskia kinaninyoka kooni sasa sielewi nifanyaje maana wako wanaoniambia nikakate wengine...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Kuna huu ugonjwa sasa hivi unakuwa common hapa Arusha, I know like 4 to 5 friends ambao watoto wao wamesumbuliwa na hizi nyama za pua na ikabidi wafanyiwe operation hapa SELIAN HOSPITAL. Dalili za...
1 Reactions
26 Replies
84K Views
Habari wakuu Narudi kwenu kuwa mrejesho. tuko Hindu Mandali siku ya 5 Sasa Hali ya mgonjwa wangu alikuwa na nafuu lakini Hali imebadilika gafla kazidiwa, alikuwa tupewe ruhusa Leo. Usiku alianza...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Waheshimiwa habari zenu. Shoga angu amenipigia simu tena, kijana wao (age 25) bado anawumbuliwa na ganzi kwenye mikono, na sasa ni too much, tusaidieni kwa anaejua dawa au awevanakula nini...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…