Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please , Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Usizidharau ishara hizi 8 za mwanzo za kisukari Kisukari kinaweza kujijenga pole pole katika mwili wako wakati mwingine bila hata wewe kufahamu nini kinaendelea. Ni mhimu kwamba unapata elimu...
9 Reactions
9 Replies
8K Views
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Wazaramo habari zenu. Sisi wa bara Tulivyokuja huku pwani ya Dar-es-salaam ndio tukajua hii mboga inaitwa dagaa mchele. Sawa tunajua kwenye utafutaji kigetogeto lazima ushawahi kula sana Dagaa...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
JINSI YA KUEPUKA KUNUKA MDOMO Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya...
14 Reactions
695 Replies
278K Views
Kwa heshima na taadhima napenda kuelezea utaratibu muhimu wa kujieleza kwa daktari ili kurahisisha upatikanaji wa tiba kwa usahihi. UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu hatujui ni...
34 Reactions
117 Replies
46K Views
Habari: Jf doctors na wadau wengine.. ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu. Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe...
7 Reactions
108 Replies
72K Views
..
1 Reactions
40 Replies
20K Views
Gafla najikagua Jana najikuta kama kiupelele hivi kanauma kushuka zaid pembeni kama kunamstari nimechanika kama kidonda wakuu nauliza hii nikitu gani
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo. Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao. Au hata ya...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu?? Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Hili suala nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kuwa matumizi ya mionzi kama vile X-Rays kwenye uchunguzi wa kitabibu ina madhara ki afya, uhalisia wake upoje?
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari za hapa ndugu zangu. Mimi nina changamoto moja, mke wangu anasumbuliwa na mafua yasiyopona na koo linawasha tangu mwezi wa sita, nifanye nini kumsaidia? Naomba ushauri kwa anaye fahamu...
0 Reactions
3 Replies
827 Views
Tulipoteza mtoto wa miezi 8 iliopita, mke wangu wakati ananyonyesha alikuwa hapati hedhi (najuwa ni kawaida ) ila hivsasa hanyonyeshi miez 8 sasa ila hedhi imegoma kutokea kabisa. Imesemwa kuwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu...
6 Reactions
107 Replies
272K Views
Wapendwa Nina tatizo la maskio kuunguruma kwa muda mrefu. Msaada wa mtu anaejua matibabu
0 Reactions
9 Replies
806 Views
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwenye ufahamu wa dawa ya mitishimba kama tiba ya maumivu chini ya mgongo.
1 Reactions
21 Replies
881 Views
Ndugu zangu, Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3. Sasa, maumivu haya huwa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom