Baba mweupe Mama mweupe watoto weusi kitaalamu inakaaje?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.

Yaani unakuta Baba mweupe mama mweupe watoto weusi ti.kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe

#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.
 
Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga .Yaani unakuta mama mweupe mama mweupe watoto weusi ti.kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe
Mchunguze vizuri mkeo huenda kwenye swala la rangi ulichagua mkorogo
 
Hiyo kalii. Yaani mtoto awe mweusi tii asiwe hata maji ya kunde?
 
Baba ni mweupe kasi gani ni weupe hasa au nusu nusu?

Je Mama nae, mweupe kwa kiasi gani?

Kama wote wawili walirithi chini ya asilimia 50 ya rangi dominant ya wazazi wao na hapa kuna uwezekano wakawepo weusi kwenye ukoo, basi watoto wao wanaweza kutoka na rangi nyeusi tii inayo- dominate kwa mababu na mabibi zao.
 
Baba ni mweupe kasi gani ni weupe hasa au nusu nusu?

Je Mama nae, mweupe kwa kiasi gani?

Kama wote wawili walirithi chini ya asilimia 50 ya rangi dominant ya wazazi wao na hapa kuna uwezekano wakawepo weusi kwenye ukoo, basi watoto wao wanawaza kutoka na rangi nyeusi tii inayo- dominate kwa mababu na mabibi zao.
🤝👍👏
 
Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.

Yaani unakuta mama mweupe mama mweupe watoto weusi ti.kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe

#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.
Hapo ujue umepigwa na kitu kizito.umeibiwa

Mchunguze mkeo labda kama weupe wake ni wa mchongo,Pengine mkeo sio mweupe ila alijichubua enzi zake kwa kunywa madawa ya kubadili rangi

Muungalie vizuri miguuni hana weuse kwenye ugoko au mikononi,Wanawake wengi wanajichubua

Ulizia vizuri utashangaa mkeo alikuwa mweusi tii zaidi ya lami

100% Mkeo sio mweupe kabisa,Mimi kuna mabinti nawafahamu ni weusi sana na Mama yao mweusi lakini yeye sasa binti ukimuona sa hizi ni mweupe hana hata doa la weusi

Mtoto alikuwa mweusi leo mtoto amekuwa mweupe sana mpaka tunashangaa,Sasa huyo ukioa lazima uambulie mtoto mweusi
 
inawezekana
nina mapacha wakike wawili mmoja pure black mwengine mweupe
mimi na mwenzangu wote ni pure black same kwa wazazi wetu
siku moja nilikuwa namtania huyu mweupe namwambia wewe unapaka mkorogo wewe akawa anacheka tu maana haelewi hata ilikuwa ni ile kucheza mama na mtoto lakin babu yao alikuwepo pembeni akaniambia unamuona huyo mtoto marehemu mama yangu mzazi alikuwa hivyo hivyo hadi haiba hiyo hiyo
nikaanza sasa kuelewa kwanini anampenda sana kuliko huyu mwingine yaani wana bond kubwa sana they can spend hours together na usielewe mtu mzima anaongea nini na mtoto wa 3yrs

kuja huyu cheusi mangala ni pure baba angu yaani ile kufanana hadi kichwa kilivyokaa na aina ya nywele
 
Aiseee nimeipenda,du i wish unicheck namba yako pm naona kuna mengi nawezajifunza
 
Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga.

Yaani unakuta Baba mweupe mama mweupe watoto weusi ti.kama naisikia ngoma ya bushoke vile"Huyu katoka kwa Babuuuuuu''Hebu tupeane uzoefu wajumbe

#Wadau wa genetics na wafukunyuzi wa mambo najua majibu hamkosi.
iyo inaitwa mbagala rangi3 mkuu
 
Mambo ya Melanin hayo... Ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom