Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wajuzi wa mawani za macho mnisaidie nisije kupofuka. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina UONI hafifu sana. Nilikuwa siwezi kuona mbali. Baada ya muda nikapima nikapatiwa miwani yenye 1.5 lens...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Tayari nina vipimo vya daktari vya macho yangu. Hivi kwanini miwani ya macho inauzwa bei ghali? Nimetembelea maduka kadhaa ya miwani bei sio chini ya 600,000. Wapi wanauza bei iliyopoa?
2 Reactions
24 Replies
9K Views
Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au...
1 Reactions
0 Replies
616 Views
Down Syndrome ni tatizo la kijenetiki linalotokana na uwepo wa kromosomu za ziada katika vinasaba vya urithi (DNA) vya Binadamu. Tatizo hili husababisha mwonekano tofauti wa uso, ulemavu wa...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Bawasiri ni moja ya Matatizo sugu yanayowasumbua wagonjwa wengi hapa tanzania na kwengineko. Ugonjwa huu umeshika kasi kubwa sana kutokana na sababu za mitindo ya vyakula bila utaratibu. Na...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Wadau wa JF, eti feni sio nzuri kwa mtoto mchanga? Nazungumzia zile (pangaboi) za juu and not stand fans! Pls naomba mnisaidie kutambua kama zina madhara,n its side effects! Jamani hata kama...
0 Reactions
17 Replies
22K Views
Duniani sasa hasa nchi za Ulaya na Marekani kuna mjadala mkubwa unaendelea ila unazimwa na matukio mbalimbali kama siasa, moto, Gaza etc. Baada ya watu kuanza kutumia dawa aina ya Ivermectin...
6 Reactions
9 Replies
906 Views
Kuwa mzazi ni jambo jema, ila kulea mtoto si kitu rahisi, haswa akiwa ndio mtoto wa kwanza. Wengi wetu tunalea watoto kutokana na maelekezo ya watu wenye uzoefu na malezi kwa muda mrefu. Tatizo...
5 Reactions
17 Replies
36K Views
Poleni na majukumu wana JF, naombeni ushauri nifanye nini, imetokea kwa mtoto wangu wa miezi 8 na kidogo ukimsimamisha hakazi miguu na ukimlazimisha hulia sana. Inavyoonekana mama yake alikua...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Habari wana Jamvi,,, naomba kujua mkono kutetemeka na kuna wakati kushindwa hata kushindwa kuandika ni dalili za ugonjwa gani au ni ugonjwa gani? Na tiba yake ni nini?? Naomba msaada wenu wataalam.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la...
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Nimekuwa nikiona mara kadhaa inabidi mtu anywe lita 1 ya maji au zaidi kwa siku ili kulinda afya, kwangu hali ni tofauti. Kwa muda mrefu nimekuwa nakunywa mai pungufu ya robo lita kazi yangu ni...
2 Reactions
17 Replies
911 Views
Habari wakuu! Nina mtoto wangu wa kiume kwa sasa yuko na umri wa mwezi mmoja na wiki moja. Dogo huwa analia sana wakati wa usiku hasa kuanzia mida ya saa nne usiku hivi. Siku kadhaa ilikua kulia...
1 Reactions
32 Replies
27K Views
Habari wadau,Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kutibu ugonjwa wa vipele mwilini hadi sehemu za siri maana imekuwa ngumu mwanangu wa kiume kupona tatizo hilo,ametumia dawa nyingi sana za hospitali...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
1 Reactions
59 Replies
3K Views
Kuna vipele vimetokea sehemu ya tumbo kwa pembeni kila nikijikuna vinaongezeka.
2 Reactions
14 Replies
858 Views
Salamu kwenu wakubwa zangu.🙏 Wakuu nina changamoto ya kifamilia, kiafya zaidi na ninaomba msaada kutoka kwenu. Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee (baba), wadogo...
9 Reactions
86 Replies
3K Views
Kamba ya kitovu kumzunguka mtoto shingoni kabla ya kuzaliwa (nuchal cord), matatizo yanaweza kujumuisha shida ya kupumua, na kuzaa mtoto aliyekufa. Kamba ya kitovu inaweza kumzunguka mtoto kwa...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom