Mtoto kutokukaza miguu akisimamishwa

Mottoo

Member
May 23, 2014
31
70
Poleni na majukumu wana JF, naombeni ushauri nifanye nini, imetokea kwa mtoto wangu wa miezi 8 na kidogo ukimsimamisha hakazi miguu na ukimlazimisha hulia sana.

Inavyoonekana mama yake alikua hamzoeshi kumsimamisha toka miezi ya nyuma.

Je kuna hatari ya kutokusimama na kutotembea ?

Na nifanye nini ili kuepusha hiyo kitu

Poleni na majukumu wana JF, naombeni ushauri nifanye nini, imetokea kwa mtoto wangu wa miezi 8 na kidogo ukimsimamisha hakazi miguu na ukimlazimisha hulia sana.

Inavyoonekana mama yake alikua hamzoeshi kumsimamisha toka miezi ya nyuma.

Je kuna hatari ya kutokusimama na kutotembea ?

Na nifanye nn ili kuepusha hiyo kitu?
 
ndibsjunior

Member
May 27, 2014
25
0
Poleni na majukumu wana jf naombeni ushauri nifanye nini, imetokea kwa mtoto wangu wa miezi 8 na kidogo ukimsimamisha hakazi miguu na ukimlazimisha hulia sana.. Inavyoonekana mama yake alikua hamzoeshi kumsimamisha toka miezi ya nyuma.. Je kuna hatari ya kutokusimama na kutotembea ? Na nifanye nn ili kuepusha iyo kitu

Ukiona kama tatizo linaendelea kuna hospitali ipo mlali wana watibu watoto wa hivyo ila iwe mapema ukianza kua kapitiliza umri wa kusimama na haja simama
 
xfactor

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
1,511
1,250

Mkuu mnunulie baby walker,na waambie nyumbani wakati wote wamuweke kwenye baby walker.Mimi kijana wangu alianza kutembea kwa kushika ukuta na vitu akiwa na miezi 10 kwasababu wakati wote alikuwa anakaa kwenye hiyo baby walker na anatembea nalo hivyo miguu inaanza kukomaa
 
Power to the People

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
1,202
2,000
nashkuru kwa ushaur kaka lakn hakazi kabsa miguu

Mtoto wangu alikuwa hivyo hivyo mpaka mwaka miguu ilikuwa haijakaza, nikampeleka kwa wataalam wakasema hana shida. ilikuwa hajafikisha muda wake wa kutembea tu. mwezi huu ameanza kutembea na kukimbia hapo hapo. so inaweza ikawa ni jambo la kusubiri lakini tafuta ushauri kwa wataalamu kwanza
 
Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,422
2,000
Ukiona kama tatizo linaendelea kuna hospitali ipo mlali wana watibu watoto wa hivyo ila iwe mapema ukianza kua kapitiliza umri wa kusimama na haja simama

mlali ya wapi mkuu mana ninazo zijua mimi kuna mlali ya dodoma-kongwa na mlali ya morogoro sasa ipi inatakiwa
 
Mottoo

Member
May 23, 2014
31
70
Mtoto wangu alikuwa hivyo hivyo mpaka mwaka miguu ilikuwa haijakaza, nikampeleka kwa wataalam wakasema hana shida. ilikuwa hajafikisha muda wake wa kutembea tu. mwezi huu ameanza kutembea na kukimbia hapo hapo. so inaweza ikawa ni jambo la kusubiri lakini tafuta ushauri kwa wataalamu kwanza

hata mimi h/tal wamesema hana tatizo kaka ngoja nivute subira
 
Mottoo

Member
May 23, 2014
31
70
Mtoto wangu
alikuwa hivyo hivyo mpaka mwaka miguu ilikuwa haijakaza, nikampeleka kwa
wataalam wakasema hana shida. ilikuwa hajafikisha muda wake wa kutembea
tu. mwezi huu ameanza kutembea na kukimbia hapo hapo. so inaweza ikawa
ni jambo la kusubiri lakini tafuta ushauri kwa wataalamu kwanza

kaka wakwako ametembea mwaka mmoja na miezi mingap
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom