Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari ya usiku wapendwa, nmeng'atwa na tandu usiku huu ila nmefanikiwa kumuua, Huduma ipi ya kwanza niipate kabla ya asubuhi? Kuna storu nyingi kuhusu tandu zinszoogopesha. Msaada tafadhali
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wadau, naombeni msaada kwa yeyote anaefahamu dawa za kuongeza maumbile ya kiume naomba anisaidie lakini ziwe dawa za asili. Au kama ulisha wahi kutumia dawa hizo na zikakupatia matokeo...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana Jf, miaka miwili iliyopita nilianza kujigundua kuwa na shida ya usikivu nilipoenda hospitali nikaambiwa shida yangu ilisababishwa na earphones hivyo usikivu wangu umeshuka na hakuna...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za usiku Baada ya kupata magonjwa siku za karibuni ikanibi niende hospital ya Benjamin hapa Dodoma. Nikacheki vipimo vyote ila nilipofika kwenye kipimo cha damu daktari alikuwa ananipa...
5 Reactions
85 Replies
16K Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
29 Reactions
178 Replies
11K Views
STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani? Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila...
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda Wengi mna sikia hadithi tu Kua kuna mti.huo wa nyoka Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia Huenda kwenye mti flani uchuma jani na...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
Nina mtoto mdogo Mwenye umri wa miezi mitatu. Tatizo la huyu mtoto ni kujisaidia kinyesi ambacho kama ameharisha. Wakati mwingine kina kuwa Kama kina majimaji tu au Kama vikambakamba...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Salaam, Wakati mamsapu alipokuwa mjamzito, nilikuwa nikienda nae kliniki mara kwa mara. Sasa siku moja, katika mazungumzo, nikamsikia dada mmoja aliyekuwa ana mtoto mchanga hapo kliniki, akisema...
1 Reactions
15 Replies
21K Views
1. Hii kauli mbiu imemaliza vijana wengi Sana maeneo ya Vijijini na visiwa vya ziwa victoria ambako Kondom ni adimu Sana. 2. Kavu sio mpango
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo. Kiharusi husababisha...
7 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
habari humu jukwaani,juzi niimenda kituo frani cha afya kuomba nipewe dawa ya PEp kutokana na mazingira hatarishi ya afya nilliowaeleza ,nikapimwa afya nikapewa dawa imeandikwa F67 je hii ndio PEp...
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Wapo watu ambao wanasumbuliwa na tatizo sugu la chunusi, madoa doa na kuharibika kwa ngozi. Ingawa chunusi hizi mara nyingi hutikea usoni, wakati mwingine hutokea pia katika maeneo tofauti ya...
1 Reactions
1K Replies
795K Views
Njia ya uzazi wa mpango ya kumwaga nje shahawa inayojuliakana pia kwa kitaalamu kama withdrawal method/pulling out method ni ni mbinu ya uzazi wa mpango inayotegemea mwanaume kutoa uume wake...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Nawasalimu wanaJF. Nina mtoto wa kiume ana umri wa mwaka na nusu.Leo ameamka akiwa na uvimbe kwenye uume wake.Sasa leo jioni uume umeanza kutoa usaha na uvimbe umeongezeka kidogo. Naomba wenye...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii. Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, nimekuwa na tatizo la kuto kufika kileleni. Yan kufika kileleni mpaka niamue nianze kuvuta hisia. Si kma zaman nlkuwa nafika kwa kulazimishwa na utamu wa...
0 Reactions
177 Replies
36K Views
Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha kichwa au kuinua.
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom