Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wa kuu! Samahani nina jambo huwa linanipa Shaka kwenye mwili wangu je ni kinga kuwa nyingi au kuna kitu kinaendele. Mwilini mwangu sina chanjo yoyote na sijawahi kuchomwa sindano ya dawa...
2 Reactions
5 Replies
687 Views
Habari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wan JF, Leo nimetafakari na kuamua kuandika uzi wa kuhusu maswala muhimu kidogo kwa wanandoa/ wanao tegemea kupata mtoto. Jambo moja wapo ambao linatia furaha katika maisha ya...
28 Reactions
68 Replies
251K Views
Nimeanza kupata dalili za genital warts sehemu za siri kwenye shina la uume kuota vinyama (visundo sundo vidogo), nimejaribu dawa lakina bado sijapata matokeo mazuri. Je, ni dawa gani inaweza...
2 Reactions
81 Replies
10K Views
Salam. Dunia ikiwa imetoka kushuhudia gonjwa hatari ya homa ya COVID -19 sasa hivi kumezuka tena ugonjwa hatari wa wa homa ya nyani (Monkey Pox)! Ombi langu kwa serikali kupitia wizara ya Afya...
1 Reactions
1 Replies
463 Views
Awali ya yote, ningependa kuelezea maana ya neno “homa” kitaalamu, maana naelewa kuwa, kuna maana nyingi sana za neno hili ki-mtaani mtaani. Kitaalamu, maana ya homa ni hali ya mwili kuwa na joto...
7 Reactions
5 Replies
49K Views
Wanajamvi i hope mpo poa, kuna njia ya uzazi wa mpango inaitwa withdrawal, unapokaribia kufika kileleni unauchomoa uume na kumwaga manii nje ya uke, sasa kwangu hii njia imekua complete failure...
7 Reactions
151 Replies
57K Views
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa). Moja ya vipimo...
20 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wakuu Nina kidonda kwenye kidole kina siku 12, nilikipata baada ya kwenda kutibiwa Bawasiri clinic za Wakorea. Unakiwekea dawa ya kuchoma moto ktk kidole mara Saba nichome kwa siku tano...
7 Reactions
100 Replies
6K Views
Habari zenu, Naomba kuuliza kama kuna kuna anayejua shida hii ya miwani Nimemnunulia mtoto MIWANI lakini kavaa wiki tu leo hii Anavaa umekuwa kubwa yaani inamvuka has wa akiinama., nitumie...
1 Reactions
13 Replies
690 Views
Nyie wataalam ni waongo mlionishauri mazoezi ati nitapunguza kilo kumbe ni uongo tu, badala ya kupunguza naongeza KGS Najituma sana mazoezini, namwaga jasho ili nikate weight ila naona KGS...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
FAIDA YA TUNDA LA FENESI KWA AFYA YA MWILI WAKO NA NGOZI. Najua unalijua fenesi, pengine unakula bila kujua faida zake au hujawahi kula kabisa. Fenesi linaweza kuwa tunda ambalo halina washabiki...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari Ndugu, Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
White coat hypertension ni nini? White coat hypertension ni hali ambapo shinikizo la damu la mtu linapopimwa katika mazingira ya kliniki (kwa mfano, hospitalini au kwenye daktari) linakuwa juu...
3 Reactions
1 Replies
441 Views
Je, kuna madhara yoyote kufanya CT scan ya Figo kuangalia kama Figo zina mawe au lah?
2 Reactions
2 Replies
517 Views
Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Habar wakuu nimeoa ndoa ya miaka 12 Nina kuja kwenu tatizo kadri miaka inasogea linakua kubwa zaid nguvu zangu zakiume zimepungua kama sikuisha Sina msisimko kabisa uume hausimami sometime...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
A NEW CHINESE VIRUS LOOM. HUMAN METAPNEUMOVIRU OR HMPV OUTBREAK. HMPV HAS NO VACCINE SA OF NOW BAADA YA MIAKA 5 YA KORANA VIRU KUTOKEA NCHINI CHINA SASA KUMEREPUKA VIRUS MPYA INAYOITWA KWA JINA...
0 Reactions
2 Replies
476 Views
Back
Top Bottom