Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta...
Hello all,
Ninapenda kushare nanyi nilivyotibika tatizo la uso kupooza. Ninafanya hivi kumsaidia mtu yeyote ikitokea amekutana na changamoto kama hii.
Niligundua wakati naswaki usiku najaribu...
I dream to see the revolutionized mental healthcare in Tanzania and transformed Mental Healthcare System -with it's structured leadership, governance & accountability,adequate resources...
Naombeni kuuliza wataalamu huku kwa mtoto wenye mwaka hadi mitatu. Maziwa yapi bora kwake, ya formula mfano lactogen, sma, infacare, s26 etc au ya ng'ombe?
Yapi yana nguvu?
Habari ndugu zangu.
Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu...
Wataalamu naomba kufahamishwa namna ya kutibu maumivu ya nyonga, ni tatizo linalonikumba kila mara nikiwa katika mazoezi ya mpira wa miguu au hata hizi mechi zetu za mchangani maumivu yananinyima...
Nahitaji wataalamu anaweza kunisaidia jinsi ya kutibu nguvu za kiume zijirudi kama awali anisaidie maana nimekuwa natumia mkongo mwanzo mwisho.au pia niendelea kutumia?
Soma Pia: Mazoezi ya...
Kama mzazi, moja ya wajibu wako mkubwa ni kuhakikisha afya na ustawi wa mtoto wako. Ngozi ya watoto ni nyororo na nyeti, ikihitaji utunzaji wa kipekee ili kuepusha matatizo ya ngozi kama vile...
Ni kwa Mwamposa hapa jamani. Yuko live. Dada anatoa ushuhuda anasema alitolewa kizazi Ila baada ya kuchukua mafuta ya upako kwa Mwamposa akapata Mimba.
Eee Mungu nisaidie Imani na Mimi!?🤔🤔🙄🙄🙄🙄...
Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda...
Habarini wanajukwaa hili,
Kama mada inavyojieleza ni kwamba mwanangu wa kiume umri mwaka 1 na nusu kwa mwezi sasa anasumbuliwa na mgolo kutoka nje, kila anapojisaidia haja kubwa.
Nilimpeleka...
Magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula gastritis yamekua gumzo kwenye maisha ya kileo,katika watu kumi Saba wanatatizo la mmeng'enyo was chakula,kuwepo kwa matangazo ya dawa za kutibu...
Ukichukua watu kumi wa mjini ni nadra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo.
Mara ya kwanza nasikia kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja...
Kuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa.
Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza...
Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza katika tishu mbalimbali za mwili, kazi kubwa ya damu ni kusambaza hewa ya oksejeni mwilini. Hewa ya oksejeni huingia mwilini kwa...
Wakuu kwema aisee nina tatizo tatizo kubwa mimi nimeanza punyeto 2014 nilifundishwa na ndugu yangu aisee kuanzia pale nikawa nafurahia huu mchezo mpaka leo
Sasa kuna tatizo limenikuta aisee...
Katika dunia ya leo, matumizi ya vipodozi ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, wazazi wengi hawafahamu hatari zinazoweza kusababishwa na viambato sumu vilivyomo kwenye vipodozi hivi...
Health
Je, wewe ni mganga wa jadi? Mfamasia? Au labda mtafiti unayetafuta tiba kubwa inayofuata kwa ugonjwa wa kisukari, unene uliopitiliza, au magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.