Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hello Doctors na wanajamii forum wote kwa jumla. Nna mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 kasoro anasumbuliwa na maumivu ya kitovu kwa muda wa mwaka mmoja sasa! Nimeshakwenda hosp mara kwa mara...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu mimi ni mmoja wapo wa waathiriwa wa miili ya kurithi na athari zake. Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana. Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Uji wa lishe ni nini; ni uji unaotengenezwa kwa kutumia nafaka mbali mbali zilizochanganywa na virutubisho vingine mfano protini, mafuta n.k Je, ni sahihi kumpa mtoto; ndio, mtoto kuanzia umri wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi...
11 Reactions
115 Replies
13K Views
Wakuu habari zenu. Natafuta eye patch nimpatie kijana alitolewa jicho moja hospital alichomwa bisibisi na vibaka limeondolewa, wapi zinapatikana kirahisi.
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua. Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi. Wanasema punde mama anavyokabidhiwa...
21 Reactions
205 Replies
7K Views
Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila...
0 Reactions
9 Replies
614 Views
binafsi mazoezi ya kegel husasan ni lile la BRIDGE EXERCISE nimekua nikifanya kila asubuhi nimeona kuna changes kwenye uume yani uume ukisimama unakua mgumu afu unatengeneza kama msitari katikati...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Kichwa kimejitosheleza. Na je hiyo ni "unconscious"/involuntary au ipo more psychological?
4 Reactions
9 Replies
605 Views
JamiiForums doctors mkuje mtujuze hii changamoto mbona UTI imepamba moto kwa miaka ya hivi karibuni na kibaya zaidi inazidi kuwa na nguvu zaidi ni kama bacteria wafenyafanya kuji-update tofauti na...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Wakuu habari za asubuhi. Nina sumbuliwa na tatizo kwenye mguu lilianza baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia mwanzo nilianza vizur baada ya kumaliza wiki kadhaa ndio mguu wa kushoto kwenye goti...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Wapendwa Wana JF, Habari za Leo, Naomba msaada kutoka kwa wale wataalamu wa kutibu ugonjwa wa magoti. Nina tatizo hili, na hata kuchuchuma nahisi maumivu makali. Je, ni dawa gani ningeweza...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello Wana JF, great thinker. Ndugu zanguni naomba tu serikali ya Namhuri ya Muungano wa Tanzania wautambue huu ugonjwa wa Acid reflux kama janga la kitaifa kwani huu ugonjwa ukikushika huwezi...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu habari za wakati huu Nina changamoto moja ya kiafya
0 Reactions
4 Replies
336 Views
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni! Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!😔😔 Nisaidie jamani...
6 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari za humu ndugu zangu. Poleni kwa majukumu. Changamoto inayonirudisha nyuma sana: Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi...
7 Reactions
90 Replies
8K Views
Habarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu...
11 Reactions
89 Replies
9K Views
Habari wadau, Mambo ya kifo wakati mwingine huwa yanafanyika haraka haraka sana hadi huwa najiuliza, ili mtu athibitike kuwa kafariki dunia, ni sehemu gani ya mwili hupimwa? Maana huko mochwari...
5 Reactions
83 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…