Ďr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Kama heading inavyojieleza hapo juu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilipimwa afya tangu 2012 nikaambiwa niko postive na nikaanziishiiwa dawa sasa inaniwia vigumu kupata mke wa kuoa kwa...
Habari za asubuhi wana JF,
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, kuna ndugu yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Yeye ni mhitimu wa chuo kikuu miaka 5 iliyopita, alisomea Bachelor of Human...
Habar wakuu nikipima sukari asubuh ya saa mbili Iko 6 na hapo nakua nimekula chakula saa mbili usiku,je kiwango Hiki nisawa? Kwa mwezi huu wa ramadhani nikija pima saa kumi na moja jioni nakuta...
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula
Je ni dawa...
Habari zenu ndugu zangu naomba kwa anayejua anisaidie.
Mwezi uliopita nilipata ajali na kwa bahati mbaya nilivunjika mvupa wa mkono karibu na viungio katika bega sasa nina mwezi bado mfupa...
Habari, ficha ID yangu plz[emoji120]
Karibia miaka 6 Sasa nina tatizo la harufu mbaya ya kinywa hata nipige mswaki mara tatu kwa siku, bado hii hali inaendelea, na nimejaribu mara kadhaa kwenda...
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema watu 281 wakiwemo watumishi wa afya 64 waliokuwa wametangamana na wagonjwa wa Marburg mkoani Kagera, wametoka karantini wakiwa salama.
Amesema...
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida
Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno...
Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu
Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu....
Si Hivyo Tu Pia...
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi...
Habari zenu wakuuu hope mko poa sana.
Leo nimeamua kuja na mda tajwa hapo juu naandika ukweli wa asilimia mia moja kuhusu hawa dada zenu na ugonjwa wao wa UTI unavyo tutesa.
Nianze moja kwa moja...
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi...
Habari Wana JF,
Naomba msaada Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana na vinazidi kuenea mwili mzima (vidogo vidogo) mpaka anakuwa mwekundu kwa kujikuna mara kwa mara.
Nilienda pharmacy walinipa...
Wakuu,
Kuna madhara yoyote ya kiafya mtu anaweza kupata anapotumia hii Microwave ya kupashia chakula na Mambo mengine, naomba kujuzwa hili.
Natanguliza shukrani🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.