Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naomba msaada na ushauri, nikiingia kwenye period naumwa na tumbo sana mpaka kutapika. Pia siku zangu zinabadilika nikiingia tarehe 2 next month napata tarehe nyingine kuanzia 8 zinaendelea mpaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mwanangu ana miezi mitano tatizo ni kwamba kitovu chake kimevimba na nimejaribu kuuliza watu mbalimbali wanasema aliemkata hakumkata vizuri ndio mana. Wakuu naomba ushauri kwa yeyote...
0 Reactions
28 Replies
30K Views
Three times a week Atripla A preliminary, small study presented at the ASM Microbe conference suggests that it might be possible to take a single tablet of HIV treatment just three times a week...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani jana niliamka mapema sana nikaenda kuoga. Maji yalikuwa ya baridi utafikiri yaliwekwa kwenye friji. Cha kushangaza kujimwagia tu nikasikia baridi na hatimaye kikanipata kichomi cha ghafla...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hii dawa nimeitafuta Dar es Salaam nzima sijaipata. Wapi naweza kuipata? Naomba msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
987 Views
  • Redirect
Vidonge vya kuzuia mimba vina madhara yapi kwa mama/mtoto wa miezi minne?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habar zenu wana jamvi naomben msaada wenu mm ni mwanamke nina miaka29 nina miaka miwil sasa kwenye ndoa na sijabahatika kupata mtt nimejaribu kwenda hosptal mbalimbali naanbiwa mara tatzo ni...
0 Reactions
Replies
Views
Wakubwa najua humu ndani wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo. Sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana...
5 Reactions
113 Replies
15K Views
  • Redirect
Wadau, Tusaidiane kuna mwana ameniuliza nimeshidwa kumjibu Ni tatizo gani linasababisha kwa uume kulala katikati ya game? Na mnamshauri nini.
1 Reactions
Replies
Views
Naombeni kama kuna madhara yoyote ya kunyonya papuchi maana nahisi nimekuwa mgonjwa wa kupenda hii kitu na matiti nisipo nyonya huwa sijisikii kama nimefanya mapenzi naona imeshaniathiri mpaka...
0 Reactions
41 Replies
11K Views
Nahitaji ushauri wa kitabibu juu ya madoa sugu kwenye ngozi ya miguu. Hii ni baada ya kupata aleji baada ya kula nyama ya nguruwe. Ningependa kujua dawa gani ninayoweza kutumia bila kujali aina...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Tangu nikiwa mdgo nasumbuliwa na matatizo ya kuumwa Kichwa na huwa knauma usawa wa jicho la kulia kwenye paji la uso (jicho la kulia kwa juu) na tatizo hilo hutokea hsa kama nikishinda na njaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi... Kama title inavyojieleza, naomba anayefahamu duka la dawa lolote linalotoa huduma kwa kutumia card za NHIF kwa hapa dar hasa maeneo ya posta, kariakoo na kigamboni hapa Dar es...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni miezi kama saba imepita tangu mke wangu aache kutumia sindano za uzazi but mpaka Leo hapati mimbaaa
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Eti kuondoa utata wa kuwa mimba imetunga baada ya kupitisha muda kwa siku mbilitatu hadi wiki,ni njia gani unaweza kufanya ili ukapangua ? Nilisikia kunywa kahawa iliyochanganywa na limau au...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Mm ni yule niliye piga demu kavu kavu demu ambaye ameathirika. Nikapewa dawa ya PEP, leo nimezimaliza nimeenda hospitali kupima kile kipimo cha kudondoshea damu ikaonesha control akaniambia...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wataalamu Nina ndugu yangu alipata ajali mwaka 2011 alipata majeraha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa ni pamoja na usoni na kumsababishia makovu kwenye Paji la uso na linampelekea kukosa raha na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Wataalam wa mambo ya saikolojia na maumbile wamezisoma tabia mbalimbali za binadamu na hatimaye wamewagawanya binadamu katika makundi makuu manne yenye kategoria kuu mbili. Kategoria hizo ni...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba mnisaidie wana JF, hivi wazazi wote wawilI wenye albinism, kuna uwezekano wa kuzaa mtoto asiye albino? ikiwa ni kweli inawezekanaje? Nisaidieni ndugu zangu.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…