Ushauri: Nimefanyiwa sperm analysis ikagundulika siwezi kumpa m/mke ujauzito

janjab

Senior Member
May 28, 2015
172
56
Wakubwa najua humu ndani wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo.

Sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana zina umbo ambalo si sahihi hazina mkia wala kichwa.

Spem viscocity haipo sawa hazivutiki, sperm color ni yellow dk kanambia kwa matokeo hayo ni ngumu kumpa mwanamke mimba .

Kanambia nirudu kesho ula kabla sijarudi.

Naomba JF doctor mniambie je, naweza kurudisha sperm quality yangu namimi nipate family au ndo siwezi tena.

Msaads tafaadhali.
 
Pole mkuu,,,kuwa na subira wala usihuzunike sana Mungu atakufqnyia wepes,,jaribu kuonana na doctors mbalimbali kwenye hospital kubwa
 
Mm naona humu wengi wanakejeli tu,ushaur wqngu achana nao ww kesho kamuulize daktari,atakueleza kwa marefu infact pia usisahau kuwatafta wataalam wa human physycology watakupa khabar zaidi
 
Wakubwa najua humu ndan wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana zina umbo ambalo si sahihi hazina mkia wala kichwa,spem viscocity haipo sawa hazivutiki,sperm color ni yellow dk kanambia kwa matokeo hayo ni ngumu kumpa mwanamke mimba kanambia nirud kesho ula kabla sijarud naomba jf doctor munambie je naweza kurudisha sperm quality yangu namm nipate family au ndo siwez tena msaad tafaadhal

Mkuu, mimi nafikiri Daktari kwa uzoefu wake anaweza kujua ni kitu gani kinasababisha mophology ya sperms zako zionekane ndio sivyo, kwa nchi za wenzetu walioendelea wangeweza kuchagua sperms ambazo zinaonekana mophology zako ziko sahihi/balabala i.e zenye kichwa na mkia wakazi changanya na yai la mkeo kwenye test tube ili fertilization ifanyike kwenye test tube katika mazingira sahihi, wakisha hakikisha kwamba hilo limefanyika bila matatizo litakalo fuata ni kuhamishia kiumbe kwenye tumbo la uzazi la mkeo.

Usije ukadanganyika kwamba lishe ya aina fulani inaweza kurekebisha mambo, hilo mimi siamini - tatizo lipo kwenze korodani zako hazitengenezi vizuri sperms zako, labda unaweka laptop kwenye mapaja yako kwa muda mrefu (utani-lakini kuna kaukweli ndani yake).

Hilo likishindikana nenda Nigeria kamuone Nabii Joshua akuombee kwa Mungu, mimi ni mtu hasiye amani vitu kirahisi rahisi lakini jamaa huyu namkubali sana, ana wito husio wa kawaida, hata wanawake walio ondolewa fallopian tubes zao zote ana uwezo wa kuwaombea wakaweza kupata mimba tena! Ni ajabu na kweli.
 
Wakubwa najua humu ndan wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana zina umbo ambalo si sahihi hazina mkia wala kichwa,spem viscocity haipo sawa hazivutiki,sperm color ni yellow dk kanambia kwa matokeo hayo ni ngumu kumpa mwanamke mimba kanambia nirud kesho ula kabla sijarud naomba jf doctor munambie je naweza kurudisha sperm quality yangu namm nipate family au ndo siwez tena msaad tafaadhal
Mkuu pole kwa kutokuwa na Sperm hazina nguvu ya kuzalisha ukihitaji dawa mimi ninayo unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Mkwe, usiogope na wala usitishwe na manenyo ya watu. Kwanza hakikisha unajitunza kiafya (I mean lishe bora), pili jiepushe na makandokando, na tatu, unahitaji subira kupitia maombi, Mungu atakusaidia. kuna watu kibao ambao walikuwa na tatizo kama lako lakini sasa ni akina baba nanihii na wamepata watoto tena hata bila dawa. Naimani ya kwamba wewe ni Muumini mzuri. Kazana na maombi ndugu. kwa leo ni hilo tu.
 
Kuja huku umekurupuka matokeo yake unadhihakiwa tu hadi na watoto wa shule! Subiri urudi kwa daktari wako atakupa matibabu na ushauri husika wacha kupanick
 
Kama ingekuwa hujachukua hatua yoyte ningekwambia nenda hospital uwe na subra kwanza
 
Pole sana mkuu. Hii ni frustrating issue kwako. Kutokuwa na sperms zenye nguvu ya kuzalisha inasababishwa na mambo mengi kama magonjwa ya zinaa, ulevi, stress, lehemu nyingi mwilini, kutopumzika na mengineyo mengi ambayo bila shaka tabibu kakujuza.

Unaweza kuepuka tatizo hili kwa kuacha kunywa vinywaji vinavyoathiri male fertility kama Coca-Cola, Pepsi na vingine vya aina hiyo. Pia acha vyakula vyenye lehemu nyingi. Epuka machipsi nk. Kula vyakula vya nafaka visivyokobolewa, vyakula vya mizizi kama viazi, mihogo, karanga. Tumia virutubisho vya asili kama asali badala ya sukari. Kunywa maji ya kutosha. Fanya mazoezi mara kwa mara kuupa nguvu itakiwayo mzunguko wako wa damu. Lala muda wa kutosha angalau masaa saba hadi nane kwa siku. Punguza stress (najua haziepukiki). Furahia kufanya mapenzi. Epuka kuoga maji ya moto sana halafu kwa muda mrefu.

Nenda kacheki damu ama afya kwa ujumla ili kuona kama hali hiyo imechangiwa na magonjwa ya zinaa.

Tumia pia muda wako kujielimisha mtandaoni juu ya namna ya ku overcome male infertility.

Ninaamini utalishinda hilo tatizo na kumpiga mimba mwanamke.

Kabla sijasahau, mhimize pia mwenza wako apime UTI. Pia msisitize juu ya kuitunza afya ya kumani.
 
Back
Top Bottom