Habari wanajamvi...
Kama title inavyojieleza, naomba anayefahamu duka la dawa lolote linalotoa huduma kwa kutumia card za NHIF kwa hapa dar hasa maeneo ya posta, kariakoo na kigamboni hapa Dar es salaam.
maduka ya dawa hupokea fomu maalum inayoonesh hizo dawa ulizokosa hiko hospitali na kila hospital ina kiwango cha dawa kam unatako dawa zoe unatakiwa upate fomu kutok hospital teule au ya rufaa na sio dispensary kwan despensary zina ukomo wa matibabu na dawa pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.