Nimemaliza dozi ya PEP, nimepima nimejikuta negative, naomba ushauri mwingine

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
609
524
Mm ni yule niliye piga demu kavu kavu demu ambaye ameathirika. Nikapewa dawa ya PEP, leo nimezimaliza nimeenda hospitali kupima kile kipimo cha kudondoshea damu ikaonesha control akaniambia negative.

Naomba ushauri wenu wakuu.
 
PEP ni nn?
Post exposure prophylaxis- dawa za ukimwi kuzuia kuambukizwa unapodungwa say na sindano iliyotumika kumdunga mgonjwa mwenye HIV. Manesi wanapata PEP wakati wanawadunga sindano wenye ukimwi na kujidunga bahati mbaya
 
Mm ni yule niliye piga demu kavu kavu demu ambaye ameathirika
Nikapewa dawa ya PEP leo mimezimaliza nimeenda hosptal kupima kile kipimo cha kudondoshea damu ikaonesha control akaniambia negative
Naomba ushauri wenu wakuu
Subiri miezi 3 upime tena
 
Miezi mi 3 tena maana doctor alisema nkimaliza dawa kama negative bas ni nagative
 
Mm ni yule niliye piga demu kavu kavu demu ambaye ameathirika. Nikapewa dawa ya PEP, leo nimezimaliza nimeenda hospitali kupima kile kipimo cha kudondoshea damu ikaonesha control akaniambia negative.

Naomba ushauri wenu wakuu.

Ushauri gani tena wataka??-
Hongera kwa kumaliza PEP, Najua haikuwa rahisi kwa siku zote hizo 28.
Sasa usiwe mchepukaji mzuri, Ukishindwa Tumia Kinga.

Note;kila ukitaka kupiga Peku, ahahhah...kumbuka masaibu uliyoyapata.
 
Back
Top Bottom