JimCarrey
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 214
- 124
Wataalamu Nina ndugu yangu alipata ajali mwaka 2011 alipata majeraha sehemu mbalimbali za mwili ikiwa ni pamoja na usoni na kumsababishia makovu kwenye Paji la uso na linampelekea kukosa raha na amani hasa ukizingatia ni mtoto wa kike....
Natamani kumsaidia ila sifahamu chochote kuhusu Plastic Surgery hua naisikia tu... Naomba ushauri je hili suala linawezekana...???? Na gharama zake inakuaje....?????? Na je hospitali gani ni nzuri kwenda kufanya hii kitu...??? Pia anaeza kutumia kadi ya bima ya afya...???? Naomba kuwasilisha