Automatically tu najikuta nakuwa na mambo meng kichwani wakat wote hata nikisema nirelax inakuw bado nivigumu.
Ww unazani kuna mtu gani ambae anaweza akajiamulia tu awe na stress kwa kupenda au kujitakia??.. bt tuachane na hayo, nielez km kuna mtaalam yoyote ambae ww unamjua/au kumskia mwenye uwezo mkubwa katik mamb hayoHaziwezi kuja automatically. Kutakuwa na trigger. Waone wataalamu watakusaidia kugundua.
Thanks kwa ushauri wko ila Kam unawez kunitajia kabisa ungekuw umenisaidia zaidiHakuna haja ya kwenda kwa pyscologist humu ndani kuna wataalam au ingia ktk internet kuna wataalam wa kila aina waliobobea katika fani hakika watakusaidia labda me pia nianze kukusaidia kwa kiasi nnachoweza...
Stress ni janga kubwa linaloathiri asilimia 30 ya watu duniani kiutafiti uñiofanywa hakuna binadam dunian hadi kufika miaka 45 hajawahi kupata stress!ingawa zinatofautiana kiwango na mda.
Kama unajihisi una stress kwanza kikubwa usijaribu kuifukuza stress kwa kujilaumu au kujiona hujitendei haki hapo utakuwa unamwaga petrol ktk moto!kuna aina mbili za kuondoa stress mojawapo meditation jifunze ku let go!halafu aina nyingine ni kureason na mawazo yako mfano unawaza maisha yangu huko mbele yataharibika unatakiwa u chalenji hilo wazo kwa kulijibu mwenyw kwamba hakuna mtu anaejua kesho kuna wamelala maskini wameamka tajiri au unajijibu kwa kujiuliza haya nayowaza yananisaidia nini?!yaani stress inanisaidia nn??!utajijibu hainisaidii kitu!so mwisho ukireason na kuchalenji stress zako zitapotea km barafu juani.hapo nimekupa hints njia zipo nyingi na useful
Labda tuanzie ktk knachokupa stress ni nn?!ili uweze kusaidiwa ufunguke wazi ndo itakuwa rahisi kupata pa kuanzia.me nakuhakikishia stress unazisahuThanks kwa ushauri wko ila Kam unawez kunitajia kabisa ungekuw umenisaidia zaidi
Inawezekana huna wa kupiga nae story umshirikishe vitu vyako, hii situation inaletaga stress pia.... Kichwani unakua na vitu vingi, unahitaji mtu uongee nae umshirikishe yanayokusibu huyo mtu anakua hayupo ni stress juu ya stressAutomatically tu najikuta nakuwa na mambo meng kichwani wakat wote hata nikisema nirelax inakuw bado nivigumu.
Yeye akiona humu watu wanatafta wakuchatinao anafikiri nimachiziInawezekana huna wa kupiga nae story umshirikishe vitu vyako, hii situation inaletaga stress pia.... Kichwani unakua na vitu vingi, unahitaji mtu uongee nae umshirikishe yanayokusibu huyo mtu anakua hayupo ni stress juu ya stress