Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Eti kuondoa utata wa kuwa mimba imetunga baada ya kupitisha muda kwa siku mbilitatu hadi wiki,ni njia gani unaweza kufanya ili ukapangua ? Nilisikia kunywa kahawa iliyochanganywa na limau au cokacola iliyochemshwa itakupa jibu ndani ya siku mbili na kuichomoa ni kweli ?