Msaada: Nimepata kichomi kikali upande wa kulia baada ya kuoga maji ya baridi

prince dudu

Senior Member
May 24, 2015
109
76
Jamani jana niliamka mapema sana nikaenda kuoga. Maji yalikuwa ya baridi utafikiri yaliwekwa kwenye friji.

Cha kushangaza kujimwagia tu nikasikia baridi na hatimaye kikanipata kichomi cha ghafla upande wa kulia mwa kifua changu. Kunauma hasa nikivuta pumzi.

Huu utakua ugonjwa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom