1. KWANINI MIGUU INANUKA? (SAYANSI NA VYANZO)Miguu yetu ina maelfu ya tezi za jasho (sweat glands) kuliko sehemu nyingine yoyote ya mwili.
Jasho lenyewe halina harufu, lakini shida inaanza hapa...
Wakuu,
Nipo hapa kuwasisitiza na kuwakumbusha tutunze afya zetu.
Binadamu jinsi tulivyo ukiichezea afya yako vibaya kuna wakati unafika unaanza kuoza.
Yaan mtu akikutazama hivi anakuona kwa nje...
Kwa kujiamini kabisa nasema kuwa Dawa zenu za Nguvu za Kiume zinachangia au zina ukweli wa 5% tu pekee ila ukweli kamili juu ta tatizo kubwa la sasa la Nguvu za Kiume kwa Wanaume wengi ni Uchumi...
U.T.I NI NINI
U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na bakteria...
Meno ya utotoni – yana umuhimu mkubwa kuliko unavyofikiri.
Wazazi wengi hudhani kuwa meno ya utotoni hayana umuhimu kwa sababu baadaye yatang'oka na kuota meno ya ukubwani. Kutokana na imani...
Weekend ya leo tulivu, nilikuwa naperuzi kwenye magroup ya psychology nimekuta post nzito sana, nimeitafsiri na kuiweka kwenu wadau kwasabababu haya mambo tumekuwa tukiyatafsiri ndivyo sivyo...
Huu uzi ni mahsusi kwa..
Ajili ya wale wenye mapungufu ya nguvu" za kiume unaweza kua na upungufu wa nguvu za kiume ukawa hujapata suluhisho, hapa utashea
Uliponaje...? ulitumia dawa gani mpaka...
Bawasiri (Hemorrhoids/Piles)
Bawasiri ni hali ambapo mishipa ya damu katika sehemu ya haja kubwa (rectum na eneo la haja kubwa) huvimba na kuwaka, na kusababisha maumivu, kuwasha, au kutokwa...
Kifafa ni ugonjwa sugu wa neva unaosababishwa na mabadiliko ya ghafla ya mfumo wa umeme wa ubongo. Hali hii huleta mshituko na kusababisha mtetemeko (degedege), kukakamaa kwa mwili, na kupoteza...
Uzee ni kitu hakikwepeki. Lakini tafiti za kibotani(elimu ya mimea) zimefatilia jamii zinazotumia mimea ifuatayo na kukuta wazee wa jamii hiyo wakiwa na uwezo mkubwa wa kufurahia uzee wao ,kwa...
Ugonjwa wa Parkinson ni ugonjwa wa mfumo wa neva unaoendelea taratibu, unaoathiri sehemu ya ubongo inayodhibiti mwendo wa mwili. Unatokana na kupungua kwa seli zinazozalisha dopamine, kemikali...
Vitu hatari kwa afya ya uzazi wa mwanaume:
Sigara/tumbaku
Pombe kupita kiasi
Madawa ya kulevya (bangi, cocaine, n.k.)
Steroids za anabolic
Kemikali za viwandani (pesticides, mafuta ya petroli)...
■ Inasafisha kizazi
■ Inazibua mirija iliyoziba
■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi.
■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha...
Dar es Salaam. Wakati watu wakifikiria ukavu wa macho au mdomo ni tatizo la kawaida linalotokana na uchovu, matumizi ya kompyuta kwa muda mrefu au kunywa maji kidogo, wataalamu wa afya wanasema...
SUPER DOSE 2
.- Dr.Zaganza: Wataalamu andaeni mchanganyiko hapo chini unatibu magonjwa 5
1. Unga wa matunda ya Mtomoko (Annona cherimola) 500gm
2. Unga wa mbegu za parachichi (Persea americana)...
Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua.
MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile;
Matatizo ya...
Mmea ni majabu ya Mungu kwetu .
Mmea hapo kwenye picha :
🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo.
🥬Kikamba unaitwa Ithaa.
🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu.
🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu.
🥬Kimeru unaitwa...