Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wananzengo humu ndani? Kuna jamaa yangu hapa kitaa kakutana kitu inaitwa gono few weeks ago. Karuka ruka leo imembana balaaa hadi anasema akipona harudii tena kula matunda ya kati kati...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Wale ambao tumekulia maisha ya kijijini, au maisha ya hali ya chini, kuna aina za mboga za majani ambazo zilitulea na kutupa afya njema. Huenda kwa sasa hukutani nazo kwasababu ya kijiografia...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Habari za muda huu wakuu, Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya. Kwa siku kadhaa sasa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Watu wengi wanapambana na kupunguza uzito kwa miaka, wakihangaika na lishe kali na mazoezi makali… lakini bado hawapati matokeo ya kudumu. Kwa nini?... 👉 Tatizo si mwili wako—tatizo ni akili yako...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkate ndiyo chakula kikuu cha kila siku cha familia nyingi duniani, hasa sehemu za mijini na ndiyo chakula kinachotumika na watu wa rika zote, wakubwa kwa wadogo, lakini ni wangapi tunajua kuwa...
13 Reactions
28 Replies
25K Views
MADHARA YA MKATE MWEUPE (WHITE BREAD) KWA NINI USILE TENA MKATE MWEUPE KUANZIA LEO? Mkate ndiyo chakula kikuu cha kila siku cha familia nyingi duniani, hasa sehemu za mijini na ndiyo chakula...
6 Reactions
6 Replies
10K Views
Mtama ni nafaka iliyo na kiwango kingi cha protini, vitamini B6 na B1 pamoja na madini chuma, copper, magnesium, selenium na zinc. Pia, huwa na kiasi cha kutosha cha kampaundi za Flavonoids...
6 Reactions
22 Replies
9K Views
Wazee wa kuzingatia "Angle" uzi huu unawahusu. Serikali yetu kupitia wizara ya afya imekua ikitumia jitihada kubwa sana katika kuhakikisha maambukizi ya VVU yanapungua nchini. Moja ya jitihada...
2 Reactions
2 Replies
748 Views
Wakuu kuna makala nimesoma inasema kinacho waua haraka wagonjwa wenye saratani sio saratani yenyewe Chemotherapy ndio huwaangamiza wagonjwa wa saratani kwa haraka kwanii hupelekea kuunguza...
13 Reactions
71 Replies
4K Views
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka...
17 Reactions
2K Replies
1M Views
Hizi dawa za mitishamba ni hatari balaa , hazina vipimo zinaua FIGO zetu, kuweni makini sana , Leo ndio Nimetoka hospital baada ya kunywa dawa mitishamba na kuanza kuarisha kwa siku 1 ,kama sio...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi... Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu...
4 Reactions
75 Replies
40K Views
HABARI NDUGU ZANGU WANA JAMII FORUMs Nimekua nikisikia kua ulaji wa NDIZI kupita kiasi yaani ikiwa ndizi ndio chakula kikuu kwa wanawake hufanya uke kua na maji mengi kimekua na tetesi kua...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari Wanajf "Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Naomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k. Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
pombe ni nini? pombe ni neno ambalo linajumuisha aina zote za vilevi unazozifahamu, pombe za aina mbalimbali zinatengenezwa na kutumika na jamii zote duniani japokua kuna baadhi ya dini haziruhusu...
3 Reactions
26 Replies
28K Views
Habarini za majukumu wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, mke wangu anamiguu iliyokonda sana (hana supu). Maumbile yake siyo mwembamba ila ni miguu tu imenyauka nyauka kama fito. Huwa...
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana JF. Jana bana nilienda ugenini kusalimia, tukachoma na kula nyama pori sana sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka, kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Naomba niwape Siri hii "fahamu vyakula ambayo ukivila vitakuongezea uzalishwaji wa testosterone hormone, estrogen levels na kuwa catalyst ya uzalishwaji wa hormones nyingine...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom