kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,185
Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Madaktari wanasema shida nn bidada, pole sana au ni mimba, maana mimba sio ugonjwaGuys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Mungu yu mwema, utapona na utarejea katika shughuli zako.Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Huyu si ndo alisema ameachana na mpenzi wake..? kama ni yeye halafu ndo anamimba taifa lijiandae kupokea single mama mwengine!.Madaktari wanasema shida nn bidada, pole sana au ni mimba, maana mimba sio ugonjwa
Pole babes, hope you will feel better soon 🤗🫂Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Mungu akuponye.Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
We nawe mimba unabeba lini? 😹😹Poleee sana Dear, utaponaa.
Olewa wewe utakufa kwa upweke kengeee weee🤣🤣🤣🤣🤣Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
😂😂😂😂 uduguu, mbona ninalea mwenzio.We nawe mimba unabeba lini? 😹😹