Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuvuruga na kujaa gesi

jumaaharuna

Member
Jul 5, 2022
28
22
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga.

Yaani ni kama nimevimbiwa, nabeuwa harufu, cha kushangaza hamu ya kula sina, ila nikitia chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni naishia kuharisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom