Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi

jumaaharuna

Member
Jul 5, 2022
28
22
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga yaani ni kama nimevimbewa na beuwa harufu, chakushangaza hamu ya kula Sina Ila nikitia Chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni naishia kuharisha..
 
Pole mkuu.. Hauna vidonda vya tumbo??
 
AlhamduliLlah hilo tatizo sisi tuliozaliwa na kukulia pwani, tunalitatuwa kwa haraka sana.

Kuna dawa ya kiasili ya majani inaitwa "sanamaki" nenda duka lolote la dawa za kiasili ya pwani, hususan yale ya dawa za "Kiarabu" utaipata na utaelekezwa kutumia kwake.

Kwa Kariakoo maduka hayo mengi yapo pale mtaa wa Nyamwezi, baina ya mtaa wa Mafia na mkunguni.
 
AlhamduliLlah hilo tatizo sisi tuliozaliwa na kukulia pwani, tunalitatuwa kwa haraka sana.

Kuna dawa ya kiasili ya majani inaitwa "sanamaki" nenda duka lolote la dawa za kiasili ya pwani, hususan yale ya dawa za "Kiarabu" utaipata na utaelekezwa kutumia kwake.

Kwa Kqriakoo maduka hayo mengi yapo pale mtaa wa Nyamwezi, baina ya mtaa wa Mafia na mkunguni.
Naamini hata mikoa mingine mbali na DSM tunaweza kuipata hiyo dawa.
 
AlhamduliLlah hilo tatizo sisi tuliozaliwa na kukulia pwani, tunalitatuwa kwa haraka sana.

Kuna dawa ya kiasili ya majani inaitwa "sanamaki" nenda duka lolote la dawa za kiasili ya pwani, hususan yale ya dawa za "Kiarabu" utaipata na utaelekezwa kutumia kwake.

Kwa Kqriakoo maduka hayo mengi yapo pale mtaa wa Nyamwezi, baina ya mtaa wa Mafia na mkunguni.
Mi nipo Mbeya Ila kesho ngoja niyatafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom