Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

WADAU wa JamiiForums naomba USHAURI wa bure kutokana na kadhia hii. Mabwana afya wanasisitiza watu kupima afya zao hasa kupima maambukizi ya gonjwa hatari la UKIMWI na uishi ukijijua afya yako...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habarin ndg zangu wa jukwaa hili la madaktari.... Ninatatizo ambalo ni la muda sasa toka Nikita chuo, hivi sasa nimeolewa lakin kila tunapo maliza kufanya (tendo pendwa ) tumbo huwa linaniuma...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau? Naulizia dawa taja hapo juu nina shida nayo nipo Dar. Nimeskia haiuzwi kila pharmacy pia haiuzwi hovyo, so kama kuna mdau yupo anafanya kazi pharmacy au hospital aweze...
0 Reactions
95 Replies
44K Views
Nasikitika mpaka sasa sijaisikia hatua zozote zilizo chukuliwa na serikali ya Tanzania katika kudhibiti entry points zote, na pia kuhusu wageni wanaotoka katika nchi zenye maambukizo ya huu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Magonjwa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Yanaweza kuwa muendelezo wa magonjwa ya muda mrefu, ajali kama stroke au kugongwa na Gari. Inaweza kutokea kwa mume/mke, Baba/mama au mtoto wako. Si...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo chuo lakini inaangaika kama niache yaani roho haina msimamo before that sickness nilikuwa napata maumivu ya kifua na maumivu ya mgongo na shingoni panabana kama mtu ananikaba hali hii...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nipo na mpenzi wangu mwaka wa tano huu hatujawai pata skendo ya Mimba na tunafanya mapenzi bila Kinga, mwenzangu {KE} kila tukifanya mapenzi nikipizi tu anasema anajikamua ili atoe shahawa zangu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
NA: ALOYCE MKWIZU. Pombe sio chai wala maji ya kunywa. Pombe sio mboga kwamba lazima ule na chakula. Pombe sio dawa useme nipo kwenye dozi ya mwaka. Vijana wanawaiga wazee kunywa, wamesahau...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
  • Closed
Je, Dalili za #COVID19 ni tofauti kati ya Watu Wazima na watoto? ====== JE, NAWEZA KUPATA #CORONAVIRUS KWA VITU NILIVYOAGIZA UGHAIBUNI? Kuna tetesi nyingi na taarifa nyingi zinazozunguka...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
wataalamu tunaomba maelekezo tafadhali. Unaitwa loa loa filariasis ambao unaupata baada ya kung'atwa na deer fly au mango fly, pale ambapo mdudu huyu anapoingia mwilini mwisho wa siku anazalisha...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Habarini jaman!! Samahan naomba kuuliza hili litakuwa n tatizo gani maana toka jana nmekuwa na vidonda puan sijui shida ni nini... yaani ndani ya pua. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nilipigwa pin ya kutokwenda kazini kwa siku 14. Baba chanja alinipa pesa ya kutumia maana nililalamika mno akaona isiwe shida. Siku kumi na nne zilivyokwisha tu nilipiga simu ban yangu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu naosababishwa na Virusi vya Corona unaoenea kwa kasi duniani, Tanzania sio kisiwa Naomba wote tufanye yafuatayo ili kuchukua hatua mapema: 1...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Imeonesha kufanikiwa kupunguza athari ya Corona. ==== Chloroquine, an old malaria drug, may help treat novel coronavirus, doctors say Chloroquine, or hydroxychloroquine, has been used to treat...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtoto wangu ana miaka5 ana tatizo la kukohoa hasa usiku lakini cha ajabu mchana hakohoi.nimejaribu kumpa dawa kama mucolyne lakini imedunda nimejaribu kumpa zecuf nayo hazina msaada nikawaza labda...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mtoto wa jirani yangu anaugua ugonjwa akijisaidia utumbo unatoka nje. Ana miaka mitatu. Ila kikubwa jirani hana uwezo wa matibabu sababu hata kujua mtoto tatizo lake linahitaj upasuaji mimi ndo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilimpeleka Rabininsia Hospital mwanzo wakasema inaweza kuwa kwenye kutambaa tamba labda amelamba pachafu au kula so anaweza kuwa amepata bacteria nikapewa Antibiotic ndo inaisha leo lakini bado...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa hospitali au kituo Cha afya Cha PRIVATE ili nimuanzishe kliniki mama mtarajiwa wa mwanangu. Ana mimba ya wiki 17. Nahisi nimemchelewesha kuanza kliniki ndio maana sitaki kelele za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii inajumuisha wadudu,vumbi,taka nk,ikitokea wakaingia machoni,we tema mate chini kwa mtindo kama unatema mchanga ulio mdomoni hakika kibanzi kitatoka machoni usiniulize mechanism,ila jaribu...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Nilianza kupata maumivu ya kuwaka moto kwenye na baadae, mgongoni baada ya kupima nimeonekana nina vidonda vya tumbo lakini kuna hali naisikia ya kushtuka kama, kuna kelele kali au kitu chochote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…