Nikisikia kelele naumia kwenye kifua

Nikisikia kelele naumia kwenye kifua

Passed

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
561
Reaction score
161
Nilianza kupata maumivu ya kuwaka moto kwenye na baadae, mgongoni baada ya kupima nimeonekana nina vidonda vya tumbo lakini kuna hali naisikia ya kushtuka kama, kuna kelele kali au kitu chochote kikianguka napata mshtuko wenye maumivu napata kero kwa kelele kali zinaniumiza!

Sasa hapa kuna mlango unakwaruza chini unavyofunguliwa na kufungwa napata maumivu makali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako kitaalamu linaitwa hyperacusis. Inawezekana una tatizo katika masikio(sikio) so waone wataalamu wa afya.
 
Back
Top Bottom