Yieen
Senior Member
- May 8, 2012
- 103
- 27
Habarin ndg zangu wa jukwaa hili la madaktari.... Ninatatizo ambalo ni la muda sasa toka Nikita chuo, hivi sasa nimeolewa lakin kila tunapo maliza kufanya (tendo pendwa ) tumbo huwa linaniuma sana kwa muda wa Dk 10 had 15 Ivi ndio Hali inatulia naombeni Msaada wenu wa kitaabibu jamani