Ganda la ushuru
Senior Member
- Mar 18, 2020
- 132
- 112
wataalamu tunaomba maelekezo tafadhali.
Unaitwa loa loa filariasis ambao unaupata baada ya kung'atwa na deer fly au mango fly, pale ambapo mdudu huyu anapoingia mwilini mwisho wa siku anazalisha minyoo (worms) anaenda kwenye macho na minyoo hao wanaanza kuonekana katika sehemu nyeupe ya jicho, pia mishipa ya damu inaonekana lakini inakuwa imejikaza sana.
Nimejaribu kuipandisha picha yake hapa jukwaani lakini imeshindikana lakini ambae atakuwa interested anaweza aka upload hiyo picha.
GLU™