Hospitali gani nzuri ya kufanyia internship

Habari zenu wakubwa, ni hospitali gani nzuri ya kufanyia internship hapa nchini, hospital ambayo utakua exposed to various cases and practices.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Habari,
Hospitali zote zenye ngazi ya mkoa/referral na ya Taifa ni zenye wagonjwa wengi na magonjwa mbalimbali.
Interniship yako kuwa njema ni:
1: Suala la utayari kufanya kazi/kujituma
2: Utayari kusoma/jisomee zaidi kwa kila mgonjwa/wagonjwa tofauti utakaokutana nao
3: Utayari kushirikiana na kila utakae mkuta eneo la kazi
4: Heshimu mazingira ya mahali husika
5: Heshimu watumishi wa kada zote
6: Jiamini unaweza
7: Heshimu wagonjwa wako na uwajali
8: Heshimu na jali mda wako

Zingatia hayo, utakuwa na interniship njema na yenye mafanikio kwenye maeneo tajwa hapo juu.
 
Mkuu umefafanua vzr
Ila nilitaka kujibiwa swali langu moja niliuliza kuwa

Hivi wale wanaopata internship huwa wanaajiriwa kwa asilimia 100? Na sehemu husika?
Na kama muda wao ukiisha offisin itawaambia kwel muda wao umeisha? Bila ya huruma yoyote?
Nawasilisha!

Asante kwa ushauri mzuri.

Suala la kumaliza interniship na kupata ajira huwa si la moja kwa moja.
Hili hutegemea mambo mengi:
1: Uwepo wa nafasi husika.
2: Utendaji wa mhusika wakati wa kipindi husika. (Mafanikio sana/kupindukia).
3: Kituo ulichofanyia kazi kinaweza kutoa ajira/ ni mwajiri chenyewe au hutegemea utaratibu wa jumla wa ajira.
4: Wakati mwingine utaratibu huweza kukwepwa hasa kama ni namba mbili hapo juu ili uweze kubaki hapo ulipo/ mara chache sana. Na hii ni chukua barua mpelekee furani ili atusaidie kuku-retain kwani unaijua kazi na unajua changamoto za sehemu husika.
 
asante mkuu
ila kazi ipo kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom