Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Za kwenu wakuu, Nikienda moja kwa moja kwenye mada Ni kuwa jana mchana nilikuwa na msichana Kwasababu alikuwa muoga wa sindano na alikuwa anaumia nikimminya ikabidi niongeze maji kwenye kipimo...
0 Reactions
98 Replies
37K Views
Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa CNN hali ya maambukizi na vifo vinavyohusishwa na Corona inatisha. Ni ya pili baada ya marekani kwenye chati ya nchi zilizo na maambukizi mengi zaidi duniani. Hata hivyo Rais wao...
0 Reactions
6 Replies
966 Views
Ni kweli Virus hawezi kufa kwa kujifukiza? Kama ni kweli. Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini. Kuna...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Za asubuh wapendwa nataka nipime hichi kipimo je kinaweza pima ukimwi?
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Samahanini Ndungu..Kwanza Habarin Za Wakati Huu. Mimi Nina Swali.. Hivi Ukitaka Kusomea MD Ni Miaka Mingapi After Kumaliza Form 6. Na Je Ada Yake Inacost Ngapi Kwa Mwaka Kuanzia Mwaka Wa Kwanza...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau, Daah asee mambo haya yanatisha kwakweli. ukizingatia yapo kwenye jamii yetu na tunayashiriki ki namna moja ama nyingine. Sasa basi miezi mitatu iliyopita nilishiriki hizi ngono...
0 Reactions
19 Replies
13K Views
Maeneo ya chini ya kitovu upande wa kulia panauma kwa ndani kama pana kidonda ntakuwa na tatizo gani mimi ni mwanamke msaada wenu tafadhal Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
1K Views
When a healthy person wears a face mask, they continuously re-rebreathe a portion of the CO2 that comes out of their lungs. Of course, there are many different types of masks that vary in such CO2...
0 Reactions
3 Replies
613 Views
Wakuu toka juzi nimepatwa na homa kali iliyoambatana na mafua na kikohozi kwa mbali. Nimeogopa kwenda hospitali nisijekuambiwa nina corona nikafa kwa presha. Nilichokifanya nimeenda duka la...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Ni kujuzana mambo haya ya matumizi ya njia za uzazi wa mpango,ili unapoamua kutumia utumie ukiwa na taarifa sahihi.sitasimama upande kwa kusema hazifai au zinafaa ninachofanya ni kukuelimisha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wasaa huu, Leo nimeshtukia kuna hivo vitu vinaendelea kwenye mabega yangu. Siwashwi wala sijiskii chochote Imetokea sehemu zote mbili za mabega. Hii inaweza kuwa tatizo gani...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu Great Thinkers, Husika na hiyo heading mi ni mkazi wa Dsm nataka nikaangalie maendeleo ya ukuaji wa mimba ya wife so nahitaji infos zinazohusiana na ultrasound na unafuu wa gharama..
1 Reactions
11 Replies
27K Views
Nina shida wa daktari wa mambo ya ENT kwa hapa dar anapatikana clinic gani nzuri inayotumia bima ya afya[emoji120]
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuu wadau wa JF Doctor, tumetangaziwa kupeleka watoto wetu kupata chanjo ya Rubella, tujifunze hapa kuwa rubella ni nini. Bahati mbaya mimi sources zote nilizo nazo ni za kingereza namwomba mkuu...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Nilifanyiwa upasuaji na kuchomwa sindano ya ganzi kwenye uti Wa mgongo.Baada ya mpaka mguu Wa kulia na mkono kunakuwa kama kuna kitu kinatembea kutoka mguuni mpaka begani Kwa sekunde 1 kinaacha...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Huyu mtoto ana siku 45 toka azaliwe! Amekuwa anataka kunyonya muda wote ukimtoa kwenye nyonyo anagombana kabisa! Analia saana huku akirusha mikono na miguu! Kuna wakati anyonya anatema maziwa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
FAIDA ZA KUTUMIA MAJANI YA MPERA KWA AJILI YA AFYA YAKO Chai ya majani ya mpera inasaidia mwili kuwa stadi, inasaidia madini ya carbohydrates yasigeuzwe kuwa sukari ndani ya mwili hivyo kupunguza...
8 Reactions
19 Replies
52K Views
Habari, Kwa muda sasa nimekua nikipata maumivu ya kichwa kuuma upande mmoja na kujiskia vibaya. Kabla kichwa hakijaanza kuuma huwa jicho linakua kama halioni vizur then maumivu yaananza kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Mwenza wangu analalamika maumivu ya tumbo baada ya kujifungua kwa muda mrefu sasa takribani miezi 8 sasa Anasema ni ule upande ambao mtoto alikuwa analalia akiwa tumboni kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…