Baada ya kuchoma sindano ya gani, Mkuu, mkono bega na mkono kukosa nguvu na vidole kuwa na ganzi

Mshambuliaji

Senior Member
Jul 9, 2017
132
79
Nilifanyiwa upasuaji na kuchomwa sindano ya ganzi kwenye uti Wa mgongo.Baada ya mpaka mguu Wa kulia na mkono kunakuwa kama kuna kitu kinatembea kutoka mguuni mpaka begani Kwa sekunde 1 kinaacha, Pia Vega linauma na mkono kufa ganzi kushindwa kushika kalamu Je ni ugonjwa gani?Tiba yake ni nini? Naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom