Je, ni kweli Virus hawezi kufa kwa kujivukiza?

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
698
Ni kweli Virus hawezi kufa kwa kujifukiza? Kama ni kweli.

Sasa kwanini wagonjwa wa Surua walikuwa wanapona kwa kuvukizwa miaka ya 90, kwani yule anaye sababisha Surua sio VIRUS? Kwanini. Kuna kitu Bado mnatakiwa mjifunze zaidi mweelewe kiundani kuhusu mechanism ya kujivukiza na kunywa maji ya moto. Maana hata wazungu pia wanashauri wa wagonjwa wao watumie hivyo vitu.

Mimi niliugua surua miaka ya 90, walizunguka hospitali zote hawakufanikiwa kuniponesha kwa dawa za kawaida. Kuna hospitali moja ya rufaa nilivukizwa nikapona.

Na ukiangalia dalili zote za Surua zinafanana na za COVID-19. Pia hata njia za uenezaji zinafanana. Mwezi wa tatu mwaka huu niliandika uzi humu humu kuwa mbona kama Surua na COVID-19 zinafanana ila mliubeza uzi wangu. Na nikasema mbinu zilizo tumika kupambana na Surua ndio hizo zinazo weza kutumika kutibu COVID-19.

Sasa mwezi April mwishoni wataalamu wa Wingereza wameliona hilo wanafanya utafiti wa ku develop kinga ya surua itumike kujikinga na COVID-19

Note: tiba ya surua ndio tiba ya COVID-19
1. Mgonjwa apewe maji ya moto ya kutosha ili koo libaki na maji muda wote (stay hydrated). Apewe muda wote akiwa anajisikia vibaya na anapokua hajisikii vibaya . Swala la maji ya moto ni kama yale ya chai ya moto. Hayo ndio maji wanayo tumia wenzetu wachina . Mgonjwa awe karibu na maji masaa 24.
2. Chakula bora, matunda na mbogamboga kwa wingi
3. Apate muda mwingi wa kupumzika na kufanya mazoezi
4. Mbinu zingine zote zilizotumika kuitokomeza surua.

UMUHIMU WA KUJIVUKIZA NA KUNYWA MAJI YA MOTO
Kujivukiza na kunywa maji mengi ya moto kila wakati ni home remedies zinazo saidia
1. Kusafisha njia za upumuaji (pua, koo n.k) ili kuzuia zisizibe. Maana zikiziba mgonjwa atashindwa kupumua.
2. Kupanua na kuzibua njia za upumuaji zilizo ziba. Kirusi anaweza sababisha njia za upumuaji kuziba. Ili kuzibua na kuzipanua mgonjwa anatakiwa ajivukize na kunywa maji mengi ya moto.
3. Kurekebisha mzunguko wa damu kwa kunywa maji ya moto. Mzunguko wa damu ukiwa mzuri ubarishanaji wa hewa kwenye mfumo wa upumuaji unakuwa mzuri.
4. Kwa wanao kaa sehemu moja bila kufanya mazoezi kunywa maji ya moto ni sawa na kufanya mazoezi.
5. Maji ya moto yanapita sehemu nyingi za mwili kuanzia kwenye koo, kwenye Koo yatalainisha koo na kulainisha utando (mucus) ya kwenye koo pia maji hayo hayo yanakwenda na sehemu nyingi tu za mwili.

Virus anamalizwa na kinga ya mwili. Kinga inachukua muda kumtambua virus (akiwa ni mgeni hajawahi kuingia ) ndio maana kuna chanjo ambayo ina introduce huyo virus (akiwa hana nguvu) ili mwili umtambue pindi akija iweze kupigana nae...

Hivyo basi kinachofanyika na remedies zote ni kutoa ahueni mpaka pale mwili utakapotengeneza kinga / kumkabili virus na kumuondoa (kwahio remedies zote) be it plenty of drinks, moisture kwenye koo, pua na njia za hewa au chochote kile kitakachokupa ahueni wakati mwili unatengeneza kinga kinaweza kuwa tofauti ya wewe kufa kwa zile symptoms (be it kushindwa kupumua sababu ya pua kuziba au kwa homa) kabla ya mwili haujapata fighting chance... Thus kama kufukiza kunasaidia kukupa ahueni ya kupuma then jibu unalo (its a remedy)

REFERENCES

Mbona kama SURUA anafanana na CORONA? Hebu soma hapa - JamiiForums

Mbinu zilizotumika kuitokomeza surua (measles) zinaweza kutumika kuitokomeza COVID-19 - JamiiForums
 
We jifukize wewe na Familya yako km Mahiga na Mama Rwakatare./ sisi tunafata ushauri wa WHO / sio hawa wapuuzi.
 
Mkuu Virusi vya aina yoyote ile haviwezi kufa kwa ujifukiza .Virusi vinakufa kwa kutumia dawa muhimu za kula ili kuweza kuviua hivyo virusi sio kujifukiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom