young baba tz
Senior Member
- Aug 30, 2017
- 100
- 141
Za asubuh wapendwa nataka nipime hichi kipimo je kinaweza pima ukimwi?
Hapana kinachopima ngoma ni sd bioline with unigold for conformationZa asubuh wapendwa nataka nipime hichi kipimo je kinaweza pima ukimwi?
Magonjwa mengi sanaa sidhani kama kwa kuyahesabu tunawdza kuyamalizahivi kinaweza kupima magonjwa zaid ya Mangapi kwa Mara moja
Why no explanationNO,,,
FBP hakipimi virusi ila majibu yake yanaweza kuashiria uwepo wa wadudu nyemelezi(infection) kutegemeana na kuongezeka au kupungua kwa cell za kwenye damu. Hiyo itamsaidia Daktari kupata mwelekeo wa kufanya vipimo zaidi kubaini tatizo.Why no explanation
Humastar haipimi magonjwa, yenyewe kazi yake ni kupima kiasi cha cells mwilini, kama chache au ni nyingi. Kwa mfanohivi kinaweza kupima magonjwa zaid ya Mangapi kwa Mara moja
Nyie kupma ukimwi inahitaj moyo sana unaweza ukafa kweny folen b4 majibu, hichi kpmo hakipmi ukimwi ila kama unao madactar watajua wataona matatzo kweny damu yako xo kama hujiamin ni bora tu utulie
Kama hujiamini ila ni better kuishi kwa kujiaminiNyie kupma ukimwi inahitaj moyo sana unaweza ukafa kweny folen b4 majibu, hichi kpmo hakipmi ukimwi ila kama unao madactar watajua wataona matatzo kweny damu yako xo kama hujiamin ni bora tu utulie
Kwa hyo neema huwez pima abadanNyie kupma ukimwi inahitaj moyo sana unaweza ukafa kweny folen b4 majibu, hichi kpmo hakipmi ukimwi ila kama unao madactar watajua wataona matatzo kweny damu yako xo kama hujiamin ni bora tu utulie
KwannDuuuh una maneno yaliyojaa huzuni sana.
Kama nakuona vile,,,ulivoongea kwa upoleee!!Kwann
HahahahahaKama nakuona vile,,,ulivoongea kwa upoleee!!